Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

Wewe mpumbavu nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Hiyo mishahara ipo kisheria na sio kwamba waziri anajiamulia. Mwambie mbunge wako apeleke hoja bungeni ya kupunguza mishahara. Acha kuleta hisia zako zinazochangiwa na wivu wa kike.
Kuna Kipindi ilikuwa Kumiliki Watumwa ipo Kisheria.., Je hio ilikuwa Sawa sababu ni Sheria ?; Unawaambia Wabunge ambae mmoja wapo ndio huyu Waziri kwamba wapeleke Hoja Bungeni Wapunguziwe ulaji wakati wameshaambiwa wale kwa urefu wa Kamba zao ?

Mimi nakwambia effect ya upuuzi unaofanyika wewe unaongelea Wivu - Watendaji wanashangaa kwanini watu hawana muamko wa kulipa Kodi; Utalipa Kodi wakati huoni value for Money na watu kuchota kuliko kinachozalishwa ?
 
Kwahiyo waziri akatae kupokea mshahara wake wakati ni takwa la kisheria? Pambana upate hela acha wivu.
 
Mchengerwa akabidhi shs. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wana-Rufiji waliokumbwa na mafuriko​

Mbunge wa Rufiji ndugu Mchengerwa akabidhi fedha za mshahara wake she. 50,000,000 kwa walioathorika na mafuriko. Mchengerwa kama kiongozi ametoa fedha hizo taslimu cash zilizofungwa katika mabunda ya noti kwa mkuu wa wilaya ya Rufiji mbele ya hadhira iliyokuwepo.

View attachment 2960951

Sambamba na tukio hilo la waziri Mchengerwa, UVCCM uongozi wa kitaifa umekabidhi misaada mingine
Arusha pia kuna mafuriko. Nako kapeleka ngapi?
 
Kwahiyo waziri akatae kupokea mshahara wake wakati ni takwa la kisheria? Pambana upate hela acha wivu.
Again unaonekana ni vipi upeo wako ni mfupi kama urefu wa pua yako... Hapa siongelei individual Waziri naongelea mfumo mzima na kwanini mfumo unafeli - wewe unaongelea mtu..., Tatizo sio Waziri kupokea mshahara wake bali Administrative nzima kuishi beyond the means..., ili sio Tatizo la Mtu ni Tatizo la Kitaifa (Tunahitaji Viongozi ambao wana-lead by example) - Tukifunga mkanda tufunge wote - kama wakiona mshahara hautoshi wafungue magenge ya nyanya kama wanaolipa Kodi wanavyofanya...

Ila I guess kwa mtu anayeangalia symptoms na sio Root Cause this is Beyond You....
 
Mshahara wake ni bei gani ?
Hiyo hela atairudisha tu maana mfuko wa michango ya maafa itampitia tena yeye,akitaka anachomoa zake tu 😄
Alafu ofisi ya waziri mkuu si wana mfuko wa fedha za kukabiliana na majanga mbona wako kimya

Ova
 
Again unaonekana ni vipi upeo wako ni mfupi kama urefu wa pua yako... Hapa siongelei individual Waziri naongelea mfumo mzima na kwanini mfumo unafeli - wewe unaongelea mtu..., Tatizo sio Waziri kupokea mshahara wake bali Administrative nzima kuishi beyond the means..., ili sio Tatizo la Mtu ni Tatizo la Kitaifa (Tunahitaji Viongozi ambao wana-lead by example) - Tukifunga mkanda tufunge wote - kama wakiona mshahara hautoshi wafungue magenge ya nyanya kama wanaolipa Kodi wanavyofanya...

Ila I guess kwa mtu anayeangalia symptoms na sio Root Cause this is Beyond You....
Wewe mpuuzi pia jitahidi kuandika kiingereza kinachoeleweka. Uzi unamhusu Mchengerwa halafu wewe kwa akili zako za kikahaba unabadili badili maneno baada ya kukosa hoja. Huo usomi wako uchwara usiulete hapa.
 
Uzi unamuhusu Mchengerwa hauna content yoyote inayohusu mishahara ? Na wewe wakati unajibu haujajibu kuhusu mishahara kwamba ipo Kisheria na anaye-think otherwise kwamba ana Wivu ? Au na wewe ulikuwa haukosoi Hoja ?

Unajua nimeanza kujadili hii hoja wapi ? Wewe uliposema Mshahara wake 18m na bado za Uwaziri kwahio hii Pesa kwake anaimudu wala bila wizi - Mimi nikakujibu kwenye Taifa omba omba wachache kujilipa kiasi hicho kwa jasho la Mwananchi ndio wizi wenyewe.... Hayo ya Usomi umeyasema wewe mimi siji-categorize kama Msomi - Unless usomi unamaanisha ni kufuatilia vitu (Jambo ambalo linaonekana wewe mwenzangu haufuatilii)
 
Punguza wivu itakusaidia kwenye haya maisha. Hata wewe kama uko sehemu yenye mshahara mkubwa furahia maisha. Kama bado hujapata subiri zamu yako. Povu jingi kumbe unatamani ungekuwa unapata huo mshahara wa Mchengerwa.
 
Hivi upo serious na unachokisema au ni kweli huo ndio mwisho wa fikra zako ? (Okay tuseme mimi nina wivu na ni binadamu mchawi kuliko wote) Je Wivu wangu au Ubaya wangu una Impact gani katika nchi.....

Lakini unashindwa kujua huo Mshahara sio wa Mchengerwa tu bali wa wote hao under-performing overpaid prima-donnas ni jasho la kila mwananchi wanazowalipa kupitia Kodi zao..., Na kutokuwa kwao out of touch na walipa kodi wakiona value for money basi kodi italipwa bila shuruti na matumizi yake yangeleta maendeleo zaidi wala kungekuwa hakuna haja ya hawa overpaid wengine ku-suggest watu wakatwe Buku mbili kwenye line ili waweze kulipia mfuko wa Bima ya Afya...
 
Unazunguka sana ila maneno yako yote yamejaa wivu mtupu. Ni kawaida kwa watu wenye akili za kimaskini na kichawi kutaka watu wengine wawe kama wao.
 
Kwanini nisiwaongelee kina Moe na kina Azam..., Kwanini nisiwaongelee Kina Diamond na Wasanii wengine..., Kwanini nisiwaongelee hata wale wanaoamua kutumia pesa zaidi ya hio kwa weekend moja ?

Tofauti ni kwamba wale ni pesa zao kwa nguvu zao hawa ni pesa zetu kwa jasho letu (Serikali haina Printer Store ya ku-print Pesa) ni Kodi na kwa Tanzania ni Mikopo na Kutembeza Bakuli.... Ukishajua hilo nadhani utaacha kuwa a Cheer Leader na kuongelea Watu bali Issues na Ideas ya nini Kifanyike..., Na hapa siongelei mtu bali matumizi ya Kodi za Watu....
 
Unless labda kama huyo jamaa mnafahamiana na mmeamua kutu- confuse, vingine kama kweli uko serious achana na huyo jamaa, argument zake ni za kibwege na kichawa chawa. Angalia hata Hilo jina analotumia, ni ama Kuna kitu anawinda au kama siyo hivyo basi atakuwa ni punguani mbumbumbu mzungu wa reli. Achana naye.
 
11 April 2024​

Dar es Salaam, Tanzania

Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta​

Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over US$10,000) for flood victims. Hon. Mchengerwa gave the cash in bundles of notes to the head of the Rufiji district in front of the tens of people who attended the event, to show solidarity with the flood victims of the area of Rufiji Delta in Tanzania .

View attachment 2960951

In support of Hon. Mchengerwa who is also a minister of State president office in charge of Local government and regional administration in the government of the United Republic of Tanzania, the youth Wing of the ruling party CCM known as UV-CCM national leadership has handed over other donations in the likes of cooking oil, dry beans, cereals and maize flour

View: https://m.youtube.com/watch?v=2F3ASLW3sPY

Vijiji maeneo ya Rufiji na Muhoro vimekumbwa na mafuriko makubwa ikiwa ni baada ya Maji ya Bwawa la Nyerere lililolenga kuzalisha umeme kufunguliwa kuepusha uharibifu wa Mitambo na maji kufunika vijiji hivyo.

Hali za wananchi 83,000 zimekuwa tete baada ya nyumba na miundombinu ya kiuchumi kufunikwa na mafuriko hayo. Pia afya za wananchi kupata changamoto na hata kusababisha maafa.

View: https://m.youtube.com/watch?v=UQCPqemaqWU
 
Back
Top Bottom