Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kuna Kipindi ilikuwa Kumiliki Watumwa ipo Kisheria.., Je hio ilikuwa Sawa sababu ni Sheria ?; Unawaambia Wabunge ambae mmoja wapo ndio huyu Waziri kwamba wapeleke Hoja Bungeni Wapunguziwe ulaji wakati wameshaambiwa wale kwa urefu wa Kamba zao ?Wewe mpumbavu nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria. Hiyo mishahara ipo kisheria na sio kwamba waziri anajiamulia. Mwambie mbunge wako apeleke hoja bungeni ya kupunguza mishahara. Acha kuleta hisia zako zinazochangiwa na wivu wa kike.
Mimi nakwambia effect ya upuuzi unaofanyika wewe unaongelea Wivu - Watendaji wanashangaa kwanini watu hawana muamko wa kulipa Kodi; Utalipa Kodi wakati huoni value for Money na watu kuchota kuliko kinachozalishwa ?