Moyo tena. 🤣 🤣Point yako ni sahihi kikawaida lakini mawazo yako ya moyoni lazma yawe tofaut, michepuko tunawapenda Sana kuzd hata wake zetu,maana kupenda tunaongozwa na moyo na sio reality, wew umeongelea reality ila sio kuuskiliza moyo unasema nin
Kwa taarifa yako michepuko ndo inapendwa Sana kuzd wake,wanaume weng wakifka kwa wake zao huongea nao kwa kuwafokeafokea tu,lakin wakiwa kwenye michepuko yao huwa wananyenyekea mno!! Fanya research harafu utuletee majibu hapaMoyo tena. 🤣 🤣
Una tatizo
Uongo,huwez kumjibu hivyo mwanamke anaekupaga mbususuHata siku moja mchepuko hapati sifa sawa na main mamsapu, daima mamsapu huwa yupo juu.. jibu langu huwa namuambia hapa tunapumzikiana ila sina upendo wala nini, twapeana kisela..
Ukikua utaacha kudhani hiviHiyo inwezekana vp?
Typical mwanaume akichepuka na mke wa mtu hana mda wa kuuliza hayo maswali
Typical mwanaume akiisaliti ndo yake Kwa kutembea na mchepuko hamrusuh huyo mchepuko kuizungumzia familia yake iwe Kwa mazuri au mabaya
Kwanini isiwezekana, sUongo,huwez kumjibu hivyo mwanamke anaekupaga mbususu
Mke na mume kufokeana ni jambo la kawaida na mchepuko ni mchepuko tu hana thamani zaidi pale anapohitajika katika ngono. Hakuna mwanaume mwenye akili timamu akampa thamani mchepuko kuliko mama watoto wake unless kuna tatizo kubwa kwenye ndoa.Kwa taarifa yako michepuko ndo inapendwa Sana kuzd wake,wanaume weng wakifka kwa wake zao huongea nao kwa kuwafokeafokea tu,lakin wakiwa kwenye michepuko yao huwa wananyenyekea mno!! Fanya research harafu utuletee majibu hapa
Hujapata mchepuko wewe ndiyo maana unasema hivi. Noana unakutana na vicheche vya kukutuliza tu.Mwambie ajue kwanza yupo na nani alafu ajitahidi asivuke mipaka yake.
ajue mipaka yake. asilete dharau kwa wife wala kutaka mfanano nae
Usifanye makosa ya kuonesha mchepuko upo na value kubwa kuliko mkeoKama huwa unambaka hapo sawa
Sasa kama unampenda si umuache mke halafu uoe mchepuko. Mkuu yan kimaandishi unaonekana bado hujui kwa nini una mchepuko au unae kwa sababu tu imekua ivyo lakini hauna mantiki ya kuwa na mchepukoPoint yako ni sahihi kikawaida lakini mawazo yako ya moyoni lazma yawe tofaut, michepuko tunawapenda Sana kuzd hata wake zetu,maana kupenda tunaongozwa na moyo na sio reality, wew umeongelea reality ila sio kuuskiliza moyo unasema nin
Mkuu unaishi kweny jamii gan?? Unashindwaje kufanya research kwenye jamii inayokuzunguka ili ujionee mwenyewe haya ninayokwambia?? Wanaume wa Shinyanga wakivuna mpunga huuza wote na kuhonga michepuko huku wake na watoto wao wakibaki hawana nguo na chakulaMke na mume kufokeana ni jambo la kawaida na mchepuko ni mchepuko tu hana thamani zaidi pale anapohitajika katika ngono. Hakuna mwanaume mwenye akili timamu akampa thamani mchepuko kuliko mama watoto wake unless kuna tatizo kubwa kwenye ndoa.
Basi ni wapumbavuMkuu unaishi kweny jamii gan?? Unashindwaje kufanya research kwenye jamii inayokuzunguka ili ujionee mwenyewe haya ninayokwambia?? Wanaume wa Shinyanga wakivuna mpunga huuza wote na kuhonga michepuko huku wake na watoto wao wakibaki hawana nguo na chakula
Mkuu inaonekana hujafanya tafit za kutosha! Nenda Shinyanga ukajionee,then unijibu kwanin wanaume wa kule wakivuna mpunga huuza na kumaliza hela zote kwa michepuko huku mke na watoto wakiachwa hawana kitu!!Sasa kama unampenda si umuache mke halafu uoe mchepuko. Mkuu yan kimaandishi unaonekana bado hujui kwa nini una mchepuko au unae kwa sababu tu imekua ivyo lakini hauna mantiki ya kuwa na mchepuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio point mkuu,kiuhalisia mchepuko ndo wathaman kuliko mke,maana wengne wanahonga had magari pia had huvunja ndoa zao kwa sababu ya mchepuko
Sasa kama unaishi kwenye jamii ya aina hiyo mm nakupinga kwa nn?Sasa Kama michepuko haipendwi hao inakuwaje wanamalizia Mali zao kwa michepuko?? Mim nataka ukubaliane kuwa michepuko inapendwa Zaid ya wake!! Naomba unijibu pia acha kuzunguka zunguka
Sasa Kama wake zao wanawapenda kulipo michepuko kwann wakaombe ngono kwa mchepuko na si kwa mkeweSasa kama unaishi kwenye jamii ya aina hiyo mm nakupinga kwa nn?
Huku kwetu michepuko inataka pesa na wenye michepuko wanataka ngono wakimaliza wanarudi kwa wake zao. Ni biashara hakuna mapenzi.
Tamaa za ngono za sisi wanaume tunazijua wenyewe, na tunajua namna ya kupambana nazo, huwezi nielewa.Sasa Kama wake zao wanawapenda kulipo michepuko kwann wakaombe ngono kwa mchepuko na si kwa mkewe