Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

Mama j si anajua anatembea na mme wa mtu kwan hajipangi yeye huko alipo
Halipi kodi hiyo pesa ya kulipa kodi atafanyia mambo mengine na kila mwanaume anahudumia kutokana na uwezo wake
 
Wakati kwa jinsi unavyomuelewa angenunua hata kiwanja aanze kamsingi ungemsapoti sana.

Mtu ana kazi, ana posho ya kazini 10k kila siku nje ya mshahara na bado anapewa na mchepuko 10k kila siku ukijumlisha sio chini ya milioni kwa mwezi, hana mtoto wa kusema anahudumia, hatoi hata mia ya kodi angekuwa mbali sana.

Labda kama anafanya maendeleo kwao kimya kimya bila kukwambia. Hapo utakuta bado ana vidili kazini vinampa hela za ziada.
Kama hafanyi chochote basi kuna kiti hakipo sawa kwake kabisa.
 
Tulishahitimisha kuwa mama J ana low thinking capacity

Mwanamke ukishakuwa na mme wa mtu unajua hakuna future labda aamue kuwa na wake wawili
Kuna wengine hujengewa nyumba na biashara juu
 
Dp mapenzi ila hauna mahaba kabisa
Mahaba yapo sister,
Ila haiwezi kua Muda wote,
Kuna MDA namkazia ili kufundisha ajitegemee bila Mimi ila anaona Kama vile namnyanyasa.

Khs duka lake,
Nlilijaribu Sana kumfundisha abane sn matumizi,pesa ijizungushe akue haraka sn maana matumizi Yake daily nagharamia mm.

Akaona sifai,Kila nikiulizia mauzo Yako wapi, Jana uliandika wapi, nionyeshe mzgo ulioagiza.

Anadai namnyanyasa namfatilia Kama mtt mdg, nikaamua isiwe tabu, nikajiweka pembeni aendeshe duka lake atakavyo.

Leo inahitajika elfu 50 TU kutoka dukan anadai Hana hela, unajiuliza huwa anauza nn sasa,picha la haraka ni kila akiuza pesa za mauzo anakula. Ofisi yake Haina hata akiba.
 
Hata huko waloolewa wengine wanaachiwa 5000 tu nao ni sex slave?au uchumi wa mme mbovu trudie
 
Mama J anakosa kitu kinaitwa self esteem na ndio mtaji wa baharia deeppond. Yani mwamba ameweza kum manipulate kiasi kwamba anaona hata kuachana na pond ni hasara zaidi kwake.

She has no independent thinking at all.
 
Maelezo yako DeepPond yanaenda na kauli ya Mtume Muhammad (pbuh)

It was narrated that ‘Abd-Allah ibn ‘Abbas (may Allah be pleased with him) said: The Messenger of Allah (peace and blessings of Allah be upon him) said: “I was shown Hell and I have never seen anything more terrifying than it. And I saw that the majority of its people are women.” They said, “Why, O Messenger of Allah?” He said, “Because of their ingratitude (kufr).” It was said, “Are they ungrateful to Allah?” He said, “They are ungrateful to their companions (husbands) and ungrateful for good treatment. If you are kind to one of them for a lifetime then she sees one (undesirable) thing in you, she will say, ‘I have never had anything good from you.’”

(Narrated by al-Bukhari, 1052)

Wanawake wanashindwa kutambua thamani ambayo mwanaume amepewa na Mungu. Daraja ya mwanaume mbele ya Mungu ni kubwa kuliko mwanamke. Kama mwanamke anakosa kuwa na shukran kwa Mumewe basi ajue kuwa hawezi kuwa na shukran kwa Mungu. Mungu anachukia sana jambo hili
 
Hata huko waloolewa wengine wanaachiwa 5000 tu nao ni sex slave?au uchumi wa mme mbovu trudie
Kuolewa ni mkataba kisheria 😀 kule hata mkitibuana unaweza ukaachiwa hata nyumba.

Mama J yeye akitimuliwa on her 40's anaenda wapi? Unless otherwise mwamba atumie busara amuoe hata kwa ndoa ya DC.
 
🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Huyo ni haramia kwa kauli kama hizo hafai. Tuendelee kusaga valve tu hadi Yesu ataporejea.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka naelewa sana ni mtu wa aina gani na ndio unampendaaa
 
Sahii kabisa mkuu,
Ntakupa mfano mwngn,
Kuna siku nmetoka Niko Safar nikaona gaun zur Sana refu la damu ya mzee.

Nikalinunua Dolla 175 na kubeba nije kumpa zawadi mamaJ.

MamaJ alipoliona TU akasemagauni gani hili la kizee, refu Sana linafunika Hadi visigino. Nikamwambia SI utaenda kulipunguza likukae sawa.

Alipolivaa likawa linampwelepweta halibani vizur matako, akasema Kwanza gauni sijalipenda lirudishe dukan wanibadilishie.

Nikamwambia kurud haiwezekani maana nmenunua nje ya nchi, fanya ukalipeleke kwa fundi akalibane unavotaka.

Akasema mpelekee mkeo akavae,
Mimi silitaki maana Ni refu Sana limekaa kizee zee sana afu rangi Yake imekaa kichawi chawi Sana.

Silitaki.
Niliumia nikaliacha pale kwake kwamba sijamnunulia wife,nmeununulia Wewe.
Kama unaona halifai, huwez kulirekebisha Basi silirudishi dukan, wee lichome TU Moto nihesabu hasara.

Lile gauni lilikaa miez hajalivaa,
Nikaja kuliona kalivaa mdg wake rose na mpk Leo analo.

Hivi unadhan Kama mwanaume Kuna siku ntawashwa washwa kumnunulia zawad mtu Kama Huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…