Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ndio shida ya sisi wanawake vitu vidogo vinatutoa utu, kodi unaweza kuta ni 150k au 200k. Ambayo kwa kazi yake angejitafutia nyumba affordable akaishi na kulipa kodi mwenyewe.
Mwisho wa siku pia tusimlaumu DP sana sababu anadeserve mtu miaka nenda rudi unashindwa kujiongeza yeye ana kazi kila siku anapewa hela ya kula,mshahara wake anapeleka wapi??
Ndio maana hata DP anamchukulia poa, kumbuka kuna mchepuko ni fundi cherehani tuu ila kajiongeza mpaka huwa anasifiwa humu pamoja na kwamba hatoi mzigo sana ila kashasaidiwa mambo ya maana mengi.
Mama j si anajua anatembea na mme wa mtu kwan hajipangi yeye huko alipoKwa komenti ya dadangu Dejane
Nimegundua mwansmke ni mtu asiyeona mbali...samahanini kwa kauli hiyo.
Kulipiwa kodi ndio uone umefika?
Huyo dada alipaswa ajipange mapema na awe amekuwa na mtaji wa maana ukiangalia anapewa aftatu za meza na kodi ili ajikomboe kwenye utumwa huu wa ngono usiokuwa na future.
Zinakuja siku hataweza tena kukata viuno ili aachiwe kodi ya meza.
Wanawake wafungue macho waone mail nyingi mbeleni
Halipi kodi hiyo pesa ya kulipa kodi atafanyia mambo mengine na kila mwanaume anahudumia kutokana na uwezo wake