Ukweli ni kwamba tulikuwa kwenye hali ngumu!! Eti mastraika wetu ni pamoja na akina Yikpe na Molinga bila kumsahau Mapinduzi Balama!! Huyo Molinga alivyokuwaga na nyodo kwa kujiona top straika sasa 😂😂😂Ukiangalia mechi za Yanga za miaka ya nyuma 3_4 ivi, utacheka sana. Yaan ilikuwa papatu papatu, butua butya ilimradi tu. Ndo maana jina utopolo likaibuka.
Sasa Ihefu na Kolos FC so Bora Ihefu jamaniNi sawa na kuuliza ni mchezaji gani wa Bayern Munich anaweza kupata namba Arsenal...
Wanaojua soka wamenielewa...
Ni hatari kulinganisha timu ya kimataifa na ya mchangani...
Thread ingeleta mantiki kama ungeuliza ni wachezaji gani wa IHEFU wanaweza kupata nafasi YANGA.
Heri ya mwaka mpya wanamichezo!
Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
I hope kuna watu walikua wananufaika at the expense ya klabu. Wanatumia hela ndogo kusajili huku zingne zikiingia mifukoni mwao.Ukweli ni kwamba tulikuwa kwenye hali ngumu!! Eti mastraika wetu ni pamoja na akina Yikpe na Molinga bila kumsahau Mapinduzi Balama!! Huyo Molinga alivyokuwaga na nyodo kwa kujiona top straika sasa 😂😂😂
Hilo la upigaji kupitia usajili lipo sana lakini kwa upande mwingine, tusisahau hicho ni kile kipindi cha baada ya kutoka Manji na Yanga tukawa tunategemea bakuli! Mbaya zaidi, wakati sisi tunategemea bakuli, wenzetu Makolo walikuwa njema mno kutokana na pesa iliyokuwa inatolewa na Mwamedi!!I hope kuna watu walikua wananufaika at the expense ya klabu. Wanatumia hela ndogo kusajili huku zingne zikiingia mifukoni mwao.
Makolo wametamba sana, but this time around bado ligi ngumu, tuone nani atasimanishwa kati kati hapo maana na yenyewe bado yanakaza kamba.
ila alishoboka kuidhamini simba na kuikimbia African Lyon na singida united?Mo hapendi shobo za kufanya udhamini ili kujitengenezea uwepesi kwenye ligi
Ndio kwa sasa yanga inaingiza faida mauzo ya jezi, Brand inakua kubwa siku hadi siku, mishahara inalipwa kwa wakati tofauti na mwanzo kwako faida ni ipiYanga inapata faida? Maajabu haya
Sasa katika ulivyoviorodhesha vyote simba anavifanya tena simba yupo level za robo fainali caf cl iweje apate hasara?Ndio kwa sasa yanga inaingiza faida mauzo ya jezi, Brand inakua kubwa siku hadi siku, mishahara inalipwa kwa wakati tofauti na mwanzo kwako faida ni ipi
maana GSM mdhamini anauza biashara zake kupitia yanga.
Thread closedNi sawa na kuuliza ni mchezaji gani wa Bayern Munich anaweza kupata namba Arsenal...
Wanaojua soka wamenielewa...
Ni hatari kulinganisha timu ya kimataifa na ya mchangani...
Thread ingeleta mantiki kama ungeuliza ni wachezaji gani wa IHEFU wanaweza kupata nafasi YANGA.
nyie chezeni ba dodoma jijiAhly ahly wanacheza CAF nyie chezeni na kina mimosas na gor mahia.
Manula, kapombe, shabalala, inonga, onyango, mkude, sakho, kanoute, mugalu, bwalya, morison... hii ni timu nzima ya yanga itakaa benchi...Heri ya mwaka mpya wanamichezo!
Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
Hata Kakolanya na Gradiel wakirudi Uto wanaingia 1st 11Manula, kapombe, shabalala, inonga, onyango, mkude, sakho, kanoute, mugalu, bwalya, morison... hii ni timu nzima ya yanga itakaa benchi...
Sub:
Bado mnasafari ndefu sanaHeri ya mwaka mpya wanamichezo!
Mchezaji gani wa Simba a.k.a Makolo ambaye anaweza akaingia kwenye first eleven ya Yanga? Kama yupo mtaje kuna hesabu napiga hapa
Huna akili wewe, mkataba wa jezi Yanga kama timu inapata kiasi cha sh. 1,300/= tu.Ndio kwa sasa yanga inaingiza faida mauzo ya jezi, Brand inakua kubwa siku hadi siku, mishahara inalipwa kwa wakati tofauti na mwanzo kwako faida ni ipi
maana GSM mdhamini anauza biashara zake kupitia yanga.