Sadio kaamua kuchukua ndinga kwenye mkarqtasi yake, yaani ule unyunyu wa ndinga mpya kabisa.
Kiasili wanawake wa zamani waliolewa na umri kama huo, 16-20. Leo unaoa 25+ jua tu kuwa some dịçk§ have dug in there countless times, you have to bear with it.
Kwa hyo ukioa mkeo akivuka hiyo 25 utamuacha kisa utamu umeisha?Utamu wa mwanamke kuanzi 15 mpaka 25 hapo. Sasa unakuja kuoa mwanamke miaka 28 utamu ulishakwisha
Kwa hapa kwetu nadhani ni 15Asicho kijua mtoa mada ni kwamba Legal Age of Marriage in Senegal is 16 years old. Au kwa lugha nyingine ni kwamba nchini Senegel umri wa mwanamke kuingia kwenye ndoa ni miaka 16.
InshaAllah!MaashAllah! Wanapendeza.
Natumai huyu ndio yule Sadio alisema atakuwa Mchamungu na mwenye hofu ya Mungu.
Wamefanya sunna njema, ikawe kheri.
Kazingua niniMwamba kazingua hataree
Kwani akiwa chini ya 18 ndo asikii raha!!ni binti mdogo, lazima walikutana kabla ya 18
Da'Vinci kili kukuta kipi😀🤣Mwamba kachukua mtoto mbich namba E kazaliwa 2005. Lakini utakuta kuna wanaume humu wanangangania single moms waliozaliwa 80s na 90s huko
Ana bahati kwa kuwa ana kititaNi chombo hasa, tena bado kako fresh, ila hili la kusomesha mchumba kibongo bongo yataka moyo wa chuma
Kila la kheri niwatakie
Na kinatafutwa zaidi hapo waliposema "long-term"ngoja BBC waanze yaoKuna umuhimu gani kuandika binti wa miaka 18!? Kuna kitu kinatafutwa hapa.
Kwa Nini sasa akuangalie hivyo?unadhani atakuwa anaangalia Nini?😁😁😁😁View attachment 2866703Hivi Kama huna hela upo Pumbu na Ngai KE anaweza kukuangalia kihivi kweli ?
Sahihi kabisa brother.Umeshasema zamani mkuu, nina uhakika kuna mabinti wa 2000's au late 1990's wamewazidi mama zao na dada zao body counts
Achana na hiki kizazi kabisa yaani exposure ya sex imekuwa kubwa kiasi ile hofu ya zamani imebakia kidogo sanaaaa. Body count sio issue tena kama zamani mkuu
Subutuu!View attachment 2866703Hivi Kama huna hela upo Pumbu na Ngai KE anaweza kukuangalia kihivi kweli ?
PUMBU NA NGAI, huyu mtoto kanaswa na vibunda tusidanganyane hapo nguvu kubwa imetumika kuanzia ngazi ya familia.View attachment 2866703Hivi Kama huna hela upo Pumbu na Ngai KE anaweza kukuangalia kihivi kweli ?
Sasa Hawa miamba wa humu mifukoni ni Hali Jojo,hawana namna ni kupambana na mishangazi tu😁😁😁😁Mwamba kachukua mtoto mbich namba E kazaliwa 2005. Lakini utakuta kuna wanaume humu wanangangania single moms waliozaliwa 80s na 90s huko
Kadada kazuri,japo she looks 25!atakuwa kambemenda Kwa muda mrefu Binti wa watu
Sasa Hawa miamba wa humu mifukoni ni Hali Jojo,hawana namna ni kupambana na mishangazi tu😁😁😁😁
huyo dada anafanana na Wewe hatariMaashAllah! Wanapendeza.
Natumai huyu ndio yule Sadio alisema atakuwa Mchamungu na mwenye hofu ya Mungu.
Wamefanya sunna njema, ikawe kheri.