Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

Utamaduni wa kizungu ni wa kijinga,Binti miaka 14 kuolewa ni mapenzi kwa watoto ila,kugongwa akiwa shule,kutoa mimba ili asome,hio ni sawa
 
Tatizo wazungu Wana Hila nyie,,,unaweza Kuta Sheria za kwao zinaruhusu ila watasema anafungiwa kucheza kwenye league za ulaya
Kabiisa, wakilitaka lao hawashindwi. πŸ˜‚πŸ€£
Na ndio wana nguvu kwa ulimwengu wa sasa, wao ndio wana jeuri ya kuifanya nyeupe ionekane nyeusi, nyeusi iwe nyeupe.
 
Jamaa akizeeka binti bado mdogo, mahitaji ya mwili yameongezeka. Ndo Mtanzaanza kuwalaumu vijana na mashangazi. Kumbe mwayataka wenyewe
 
Rest In Peace
 
Bikra na low body counts hazijawahi kushuka thamani.
 
Bikra na low body counts hazijawahi kushuka thamani.

Vina thamani yake ila sio kwa maisha ya sasa. Zamani binti asiye na bikra ndio watu wangemshangaa ila siku hizi mwenye bikra, watu wanamshangaa yani kaitunzanje. Hii shift ya mawazo ndio inaonesha kabsa kuwa bikra kuondolewa sio "issue"
 
Angalau miaka 20.
Huu mfumo wa shule ni upuuzi tu mtoto mpaka Miaka 24 yupo chuo tunakuja kuoa makapi
😁😁
Hakuna guarantee mkuu, labda ungeongelea "ukomavu" Ila sio "makapi".. Maana kwa sasa watoto wa kike wanaingia kwenye industry toka wakiwa primary na wengi wanapotea kabisa secondary.

Kiufupi, kiwango cha kutumika kwa sasa hakina uhusiano na umri. By the way, hata wewe mkuu hausubiri ndoa ili uruke na watoto wa kike. Hao unaoruka nao unategemea waolewe na nani

Hivyo, ni kuelewa tu system tunayoilea ndio inatoa wale wanawake tutakaowaoa
 
Watu weusi kwa ndumba huyo mtoto anaanza kurogwa na ndugu zake wakifuata Marafiki na majirani uchwara.

Ana vita Kali Sana mbeleni πŸ˜‚πŸ˜‚
Watahakikisha anaachika nakwambia🀣🀣🀣🀣Yaani akigeuka huku kipapai,akigeuka hivi yai viza,akigeuka huku imevunjwa ni tafrani
 
Vina thamani yake ila sio kwa maisha ya sasa. Zamani binti asiye na bikra ndio watu wangemshangaa ila siku hizi mwenye bikra, watu wanamshangaa yani kaitunzanje. Hii shift ya mawazo ndio inaonesha kabsa kuwa bikra kuondolewa sio "issue"
Bado haijashuka thamani na ndio maana mpaka kesho mwanaume akioa anafanya vetting, wewe unazani vetting ni kwa ajili ya nini?

Watu watamshangaa sababu ya upekee wake,ila kushangaa kwao hakuondoi thamani yake. Hamna mwanaume anayependa kuoa mwanamke anaye gongwa gongwa hovyo au mwenye high body count kubwa,hata kama yy ni playboy.
 
Wanaingia kwenye industry πŸ˜…
 
Jamani mbona wanawake wanapoolewa huwa hawaangalii how many pits you have dug in countless times, why blasting only them while praising the ones responsible for the digging, i have always failed to understand the logic behind this
 
Noma!
 
Na hapo ndipo tatizo linapoanzia sasa kama kila me anataka awe playboy hizo bikira zitatoka wapi, mkitaka ke wajitunze means na ninyi mkubali kujitunza, maana obviously mtakosa wanawake wa kuwachezea je mko tayari kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…