Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hii ni mbaya sana kwa DuchuMshikaji kapata pesa kawa na madharau πππ
Ndio vijana wa jifunze urafiki wa wakati mpo teenager siku zote Huwa lazima uishie kwenye usaliti haswaa pale ambapo mmoja anapoanza kujipata
Ni sawa na story ya 2face na Emanuel eboue
Shauri yake , Anajiona kajipata so anamkataa jamaa ππHii ni mbaya sana kwa Duchu
Na mpaka jamaa kaja kupandisha uzi huku itakuwa jamaa amemtosa mazima kwa hasira kaona ngoja nikamwage Mchele kwenye kuku wengi, ijapokuwa inawezekana mshkaji alikuwa anamsaidia ila labda jamaa ni msumbufu ni ombaomba sugu akaamua amfungie vioo, maana Kuna wengine akikusaidia anataka kukufanya mtumwa wakeShauri yake , Anajiona kajipata so anamkataa jamaa ππ
Huwenda alimpa ahadi kwamba akitusua atamshika mkono
Ilitokea hivyo Kwa 2face alikuwa mshikakaji mkubwa sana wa Emanuel eboue 2face alipokuja kutoboa kimziki Akaanza kumfungia mwenzake vipo yaani full madharau
Mungu sio athumani Emanuel akatoboa na kwenda kucheza Chelsea akawa star mkubwa kuliko 2face na Hela kibao , to good enough Emmanuel kutokana na ushawishi wa umaarufu wake akaoa mtoto wa bilinear now wana mihela kibao ,
Ushkaji wa watu wawili ambao bado wapo kwenye kipindi Cha kujitafuta unakuwaga wa kinafki sana mmoja anapo tangulia kuanza kupata
Kujitafuta tu mkuu, si unajua bara la giza hili fursa kwa vijana chache sana.Ila kwanini Duchu atudanganye? kuwa kazaliwa 2001 wakati ni kijana wa 1994?
Mwaka kabadilisha ili aonekane mdogo kimpiraNahisi jamaa anatumia kameta mwengine tofauti na wewe hasa hasa ukichek kabadilisha mwaka
Naam yote yawezekana na huwenda pia jamaa hakitegemea kuona aliyempa jina atakuja kufanikiwa Kwa level hiyoNa mpaka jamaa kaja kupandisha uzi huku itakuwa jamaa amemtosa mazima kwa hasira kaona ngoja nikamwage Mchele kwenye kuku wengi, ijapokuwa inawezekana mshkaji alikuwa anamsaidia ila labda jamaa ni msumbufu ni ombaomba sugu akaamua amfungie vioo, maana Kuna wengine akikusaidia anataka kukufanya mtumwa wake
Yes wivu pia na chuki inaweza kuwa visababishi, hakutegemea mchizi ataweza fika level ya kuichezea SimbaNaam yote yawezekana na huwenda pia jamaa hakitegemea kuona aliyempa jina atakuja kufanikiwa Kwa level hiyo
So Ndani ya moyo imeibuka jealous
Itakuwa Duchu amezingua mahali..Dah! Umeamua kumvua nguo mshkaji wako hadharani kabisa, kwanza kukuibia jina, pili kudanganya na umri, ngoja tuone itaishiaje hii
shida wanatokea sehemu moja na wanawajua kwamba huyu ni fulaniHujawahi kusikia majina yanayofanana? Inajua kwamba huyu anaitwa David Frank Kameta Mwalusimbi?
Nimemshangaa sana jamaa na ukoo wakeπππ wanataka Duchu wagawane mshahara