Hahahaha naskia mama kavunja bodi juzi 😹😹😹 amesambaratisha utawalaKuna kitu kinaitwa TPB weuweee...weka mbali na watoto
Kuanzia manager mpaka teller njaa kali
Ntawapa mkanda later on
Huwaga tu sipendi mikato ya kukomoana, ila jamaa alizingua sanaKwanza hapo ungeweza kupiga hela ndefu sana pale alipofoji sign yako ni kosa kubwa sana kisheria,upigaji bank upo sana
Hivi mjue inabidi ifike kipindi tuwafungulie kesi hawa watu. Mimi yule mama kosa alilofanya ni kuniambia au umeficha hiyo nyingine? Hapo ndo mashetani yaliponipanda. Yaan nilichachukaaa. Ile kauli ilinifanya nijisikie mwizi wa hela za mzazi wangu. Aisee... natamani initokee tena nimeite na mwanasheria wangu[emoji23][emoji23][emoji23] yaan itokee basiWanakula wote wampe adhabu ya nini! Juzi nimeenda kununua tu dawa pharmacy kubwa kabisa nikaambiwa bei kabisa naenda kulipia kwa cashier eti hataki kurudisha change, namuuliza change yangu eti kwani umeambiwa sh ngapi! Ndiyo kakanirudishia halafu ni kamdada, wanawake siku hizi nao wamekuwa majizi sana.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha kuna nini tena arifu??Af mtoto wa baba una mambo wewe itabidi nije change room tuongee vizuri
Kunalo jambo nataka tubonge mama la mamaHa ha ha kuna nini tena arifu??
Kweli wewe miss pablo!!😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] yaan nilivurugwaaa. Yule teller akanambia eti mbona unang'ang'ania hiyo camera room. Mimi nilitaka tuu ajue siyo boya na basi. Nilitaka ajue najua engilishi hata cha kuombea maji na najuaga kuna kamera huko benki[emoji23][emoji23] kiujumla hiyo siku nilikua mchafu aisee... maybe alijua nimetoka uza mchicha ndo makusanyo. Halafu usisahau nikagonga kwenye meza kama wanavyofanyaga kwenye movie[emoji23][emoji23][emoji23]
Upeleke hela halafu uziibe mwenye daa unaweza mpa mtu vitasaHivi mjue inabidi ifike kipindi tuwafungulie kesi hawa watu. Mimi yule mama kosa alilofanya ni kuniambia au umeficha hiyo nyingine? Hapo ndo mashetani yaliponipanda. Yaan nilichachukaaa. Ile kauli ilinifanya nijisikie mwizi wa hela za mzazi wangu. Aisee... natamani initokee tena nimeite na mwanasheria wangu[emoji23][emoji23][emoji23] yaan itokee basi
Hahaha karibuuKunalo jambo nataka tubonge mama la mama
Poa poaHahaha karibuu
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe. Ni hela nyingi sana hiyi. Halaf si yngu. Nimekua kilaza kiasi hicho kweli?Kweli wewe miss pablo!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa alinishangaza mno. Yaan najiibia. Nadhan ndo kauli ilinikwaza. Nilikua mkalii. Bank yote wananiangalia mimi. Bora bongo movie wanichukue tuUpeleke hela halafu uziibe mwenye daa unaweza mpa mtu vitasa
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Sure, ulichokifanya mie mwenyewe nimependa. Nafikiri ingekua ni mie pasingetosha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] wewe. Ni hela nyingi sana hiyi. Halaf si yngu. Nimekua kilaza kiasi hicho kweli?
Yes. Kuna kupelea kwa elf 10, 20, 30 si mbaya sana. Yaan mtu milion 2 kweli? Hapana. Hadi wengine pembeni wakasema haiwezekani gap kubwa hivyo.Sure, ulichokifanya mie mwenyewe nimependa. Nafikiri ingekua ni mie pasingetosha kabisa
Ofcoz hayo makosa ndio yanazalisha wizi au dhulma. Inakuwaje mnapigiana hesabu vizuri then unaweka hela nakuondoka, alaf baadae unaambiwa hela uliyoleta ni pungufu ulikosea kuhesabu? Wanafoji saini kisha wanatoa hela kwenye account yako, mbaya zaidi kwenye simu hauji ujumbe wa hiyo transaction. Wakishagundua walipokosea, ndio wanajifanya kukuomba msamaha, wakati hapo awali walikuwa wanasema kosa ni lako?Nasisitiza tena,Hakuna pesa ya mtaje inayopotea Bank,yanayaotokea ni makosa ya ma bank teller tu na sio kwamba eti benki ni wezi.Teller katika mahesabu yake akikuta pesa imezidi,ile hela kuna suspense account inawekwa,na hauruhusiwi kuitumia hata kama ni elfu ,sababu wanaa assume kuna siku utakuja kuiulizia na utapewa,..Ikijulikana kuna pesa mtaja kazidisha na huku report,siku akija kudai hela yake,Teller atakwenda na maji.
Ukiona kuna shida kwenye pesa zako,nenda bank na slip zako utaruhudishiwa hela yako.
Issue ya statement ni makosa kwenye kui spool hiyo statement tu labda afisa kuna namna alikosea ila sio lengo la bank kumuibia mteja,Sababu ikijulikana benki kuu benki inaiba pesa za wateja,hiyo faini yake benki haiwezi kulipa.
Bro, mbona unawatetea sana hawa jamaa. Ndugu zako wanaelezea kilichowakuta ila wewe unakataa.Nasisitiza tena,Hakuna pesa ya mtaje inayopotea Bank,yanayaotokea ni makosa ya ma bank teller tu na sio kwamba eti benki ni wezi.Teller katika mahesabu yake akikuta pesa imezidi,ile hela kuna suspense account inawekwa,na hauruhusiwi kuitumia hata kama ni elfu ,sababu wanaa assume kuna siku utakuja kuiulizia na utapewa,..Ikijulikana kuna pesa mtaja kazidisha na huku report,siku akija kudai hela yake,Teller atakwenda na maji.
Ukiona kuna shida kwenye pesa zako,nenda bank na slip zako utaruhudishiwa hela yako.
Issue ya statement ni makosa kwenye kui spool hiyo statement tu labda afisa kuna namna alikosea ila sio lengo la bank kumuibia mteja,Sababu ikijulikana benki kuu benki inaiba pesa za wateja,hiyo faini yake benki haiwezi kulipa.
Mimi walitaka kunipiga kilo 5. Nilipowaijia juu wakairudisha fasta. sijui ni makosa ya kibinadamu au wanadhamiria?Bank wanapiga usipokuwa makini na hela zako........nilifanya miamala kama minne hivi,sasa kwa akili zao wakajua nitapoteza mahesabu hawakujua kwamba narecord salio la mwisho sehemu baada kama ya siku 3 nikaona imepelea jiwe zima(kilo moja aka laki),nikawapandia hewani kwamba kilo moja siioni na wala sijatoa,wakacheck wakasema baada ya masaa mawili itarudi ,nikasikilizia baada ya muda wakairudisha.