Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

Safi kabisa, haiwezekani tunapeleka pesa zetu bank tukijua ndio sehemu salama, badala yake wanatuibia
 
Eti kwenye movie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Nataman ningekuepo maana napendaga kuona fujo kama hizo
 
Eti kwenye movie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], Nataman ningekuepo maana napendaga kuona fujo kama hizo
Eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikumbuka kipande cha kwenye movie pale mtu anagonga meza paaah halaf ananyanyuka anauliza where is the boss[emoji23][emoji23][emoji23] kwanza ilibidi nipewe a cup of coffee halaf seniour relationship manager aitwe kunibembeleza. Nakwambia kinge kingi kama deffensive mechanism kuwapotezea maboya wasije niona wa kuja
 
Aisee.. Kuna account yangu bank ya standard chartered,
Juzi nmeweka 190,000 kwa njia ya m pesa cha jabu hiyo bank wakafyeka 22,000 nzima. Mpaka sasa hivi nawaza wamekata kwa jili ya nini sipati jibu.
Nimeitelekeza akaunt yangu ya Stanchat. Wana makato haoo balaa. Nadhan ni malimbikizo ya hela ya kutunzia akaunt
 
Nakumbuka nilifungua a/c ya NMB maeneo flan Dsm mwaka 2019 ili niweze kupata card ya manunuzi mtandaoni.Nilideposit tsh.250,000/- baada ya miezi mitatu nilipata changamoto ambapo nilijichanga ila nilipungukiwa 50,000/-.Nikaona hebu niende kutoa pale bank.
Bhana bhana bhana kwenda atm machine naambiwa sina kiasi cha kutosha kuweza kutoa pesa.
Nikaona siyo shida ngoja nikaombe bank statement,kuicheck nikaona takataka kibaooo.
Kwa ufupi toka siku hiyo nimeacha rasmi kuweka pesa bank na sijutii kwa hilo maana naamini nilipigwa kwenye bank nyingine isipokuwa nilikuwa sifuatilii.
 
Wapi nimekataa kwamba hayo wanayosema HAYAJAWATOKEA?.Soma kwa Logic mkuu,
Ninachosema nimkwamba,yanayotokea ni makosa ya wafanyakazi wa bank na wala sio sera za benki kuwaibia wateja,hii ndio point yangu,Na ndio maana ukifuatilia kwa vielelezo wanakupa hela yako sababu waliihifadhi wakijua kabisa kuna siku utakuja,.Pili,kama afisa wa benki amekuibia kwa makusudi na ikajulikana hivyo wakati unafuatilia,lazima achukuliwe hatua maana ukienda kureport Benki Kuu ni dhahama kwa benki.
Ile Issue ya mwaka jana,nafkiri ni benki fulani branch ya arusha.Kuna vitu vingi sana vilitokea na huvijui ndio maana benki ilikubali hata kwenda mahakamani,yule mteja aliweka fixed deposit benki,then baadae kwa kushirikiana na afisa wa benki, wakaitoa ile pesa ila kwenye record za benki yule afisa hakuifuta kwamba imetoka,then baadae akaja tena kudai ile pesa,ndio chanzo cha benki kwenda mahakamani sababu benki wao waliita kama fraud.Na ukiangalia kweli yule mtaje alikuwa na slip zote na mkataba wa ile deposit,lakini nyuma ya pazia haikuwa hivyo.
 
Mkuu mkasa Kama huu ulinitokea CRDB, Kuna mtu nilimlipa 3.75mil nikapewa na paid slip ila baada ya siku 3 jamaa alinipigia simu kwamba nimemlipa 1.75mil tuu, ilinibidi nishangae na kumuuliza umejuaje nimekulipa kiasi hicho akaniambia nipo na benki statement hapa ndicho kiasi kinachosoma umeiingiza, Nikamuuliza hakuna sehemu yenye tarehe ...mwezi February 2021 inasoma 3.75mil?..... Jamaa ndio akafunguka kwamba kiliingizwa kiasi hicho lakini kikatolewa na kuingizwa 1.75Mil duuh teller akawa amepiga 2Mil fastaaa,
Kesho yake nikaenda benki yule teller alivoniona tuu alishtuka mikono inatetemeka, imefika zamu yangu anihudumie nashangaa ananipa PAID SLIP ya 1.75Mil Nikamuuliza hii ni yanini? Akanambia tulikosea kkuhesabu hela hazikufikia kiasi hicho 2Mil haikuwepo nikamwambia acha upumbavu wewe 2mil ni makaratasi mengi sanaaaaa na kwanini hukunipa taarifa kwa kunipigia simu? Ukaamua kurudisha muamala mwenyewe? Niliwasha Moto akaja mlinzi tukaenda kwa Supervisor wake, Supervisor hana taarifa kwamba jamaa alikua na LOSS ya 2mil bhasi ikabidi twende kwenye CCTV, footage zinaonyesha jamaa alipokea hela zote ila aliamua kupiga tuu.
Bhasi mtonyo ukaingizwa......ila sahivi siziamini benki hela yangu naweka ndani
 
Nakuelewa mkuu,huyo staff aliye foji signature yako,hiyo ilikuwa ni kesi kabisa ya forgery na kwa ofisi iliyo makini angepigwa chini instantly,.
Kingine,ile ku transpose amount mfano umeweka 600,000/ yeye akaandika 60,000/ ni makosa ya uandishi tu jinsi ya ku imput maana wanaaweka manually kwenye system,hayo mambo benki nyingi sana yanatokea.Pia kuna wateja wanazidishiwaga hela,mfano ameleta 500,000/ ila teller anaandika 5,000,000/,halafu jioni akija funga mahesabu yanagoma,inabidi ile hela aitoe haraka na aombe Mungu mteja asijekuitoa kabla.
Hizo ni incidences tu ambazo wanakutana nazo daily,anaweza kukupunguzia wewe au akakuzidishia pia.
Suala na kukataa ni ile anajua kwamba amefanya kosa ila hana uhakika exaclty ni mteja gani alimpunja hela yake,thats why anakuwa mbishi sababu alishajiwekea kichwani kwamba ni wewe kumbe siye,Ingetakiwa tu aombe msaada kwa staff mwezie maana tumetofautiana uzoefu,hakufanya sawa kukubishia,ila cha msingi aliomba msamaha.
 
Nakubaliana na wewe, tutofautishe benki kama taasisi na mfanyakazi kama mwajiriwa, makosa sio benki na benki haina sababu ya kukuibia fedha zako kwani itaharibu sifa ya taasisi na sifa kubwa ya benki ni usalama wa fedha za mteja. Kinachotokea ni aidha makosa ya kibinadamu ya watumishi au baadhi ya watumishi kutokuwa waaminifu.

Lakini pia kuna wateja wengine pia sio waaminifu, wakilipwa zaidi ya kiasi walichotaka kuchukua kwa teller kukosea kumlipa huwa wanaingia mitini na hawarejeshi fedha hizo na matokeo yake teller hulazimika kulipa yeye fedha hizo na hapo atakuwa amesamehewa vinginevyo hufukuzwa kazi kabisa. Hivyo mteja mwenzagu ukizidishiwa fedha benki zirejeshe ili huyo mtumishi asiingie matatizoni.
 
Upande wa pili mabenki pia wanakuwa na matukio ya kuibiwa fedha na wateja wao. Isipokuwa mambo haya yanabaki ndani kwa ndani kwa vile yakitangazwa wateja wengine watashindwa kutofautisha kwamba iliyoibiwa ni benki sio mteja hivyo watachukua fedha zao. Pili kuendesha kesi hizi inaweza kuwa gharama zaidi ya fedha iliyoibiwa.
 
Mkuu nishawai kuwa bank teller....Kuna makosa huwa yanatokea,mfano hi yako inaweza kuwa mis posting.....alikuwa Ana deposit 300000,akakosea akapost 30000,jioni wakati wa kubalance akaona Ana overage/excess ya 270000,kwa teller muaminifu nilazima ureport kwa supervisor wako ambae Ni back office supervisor (B.O.S),mfanye reconsilation ya slip zote mlizo post that day,ikiwa hujaiyona una report na kuna account unapost,the same to shortage.tatizo linaibuka kwa teller ambae sio muaminifu,anaona one overage anakausha anawekaa mfukoni,baada ya siku,wiki au mwezi muhusika alio deposit anagundua makosa Kama hapo....unareport kwa manager.....teller anaulizwa na kuangalia receipts inaonesha ulileta 300000 yeye kapost 30000,inatakiwa afanye anavyo weza ifanyike reversal apost 300000,Sasa hapo ndo kimbembeee Kama uli report uko safe side Kama ulibana na hukureport jua linakuwakia
 
Ifike mahali bank za hivyo zitajwe waziwazi. Mfano mimi kwenye bank ya CRDB tarehe 23 April nilifanya muamala mara mbili lakini nilikuta makato ya pesa zaidi ya mara 10. CRDB kwa sasa imekuwa ni bank ya hovyo kabisa.
Mkuu naungana na wewe katika hili.
 
Kuna kitu kimejificha ambacho mimi sina majibu. Nilienda kwa manager baada ya wiki toka ni deposit hiyo hela, ina maana supervisor hajaona ? Ina maana yy hajariport kuwa kuna ecxess, cha ajabu kuna jamaa yangu nae alishawahi kumbwa na tatizo hilohilo kwa teller yuleyule
 
Mkuu nashukuru kwa kunielewa,mimi nilibahatika kufanya kazi benki kidogo ila sikukaa front dest/kirishani najua sana operations za benki behind zinafanyikaje..Kable ya hapo nikiwa chuoni/mtaani niliamini kabisa benki wanaiba pesa kama watu wengi wanavyoamini hapa,ila baada ya kupata uzoefu kidogo nimegundua hakuna hata senti ya mteja ianweza potea benki kwa makusudi,labda iwe ni fraud na ikiwa hivyo mteja hatoathirika.
Kuna changamoto za ndani ya benki ambazo wateja wengi hawazijui(Kiuhalisia hawapaswi kujua sababu haiwahusu),lakini kusema tu generally kwamba benki ni wezi wanaiba sio sawa hata kidogo,.
Bank Teller hawezi kuiba pesa kiasi ambacho anajua kabisa mshahara wake hauwezi kulipa iwapo mteja akija kudai,ndio maana unakuta wale sio waaminifu wanaiba elfu 10,20,30 au akizidi sana 50.Teller hawezi iba eti laki1,2,2,5 au 1M.Sabau anajua hiyo amount ni kubwa ni lazima ajulikane na pia lazima mteja aje kudai,na itapelekea hadi yeye kufukuzwa kazi.Kinachotokea ni makosa ya kibinaadamu tu,ila mteja sababu hajui anasema benki ni wezi (Ofcouse ni haki yao kulalamika sababu poesa ni zao).
Pia wanashundwa kujua kwamba hayo makosa yanatokea kote kote,..Kuna mteja alishwahi zidishiwa pesa akawekewa 5M badala ya laki 5,sababu alipata msg alienda branch nyingine faster akatoa 3M,yule teller alifukuzwa kazi kwa uzembe,haya makosa yanatokea pande zote ila wateja sababu ni wengi basi wakilalamika inaonekana benki ni wezi kumbe ni makosa ya kibinadamu tu.
 
Huyo teller anakauzembee....na Ni Yule ambae akiona ovarage hareport......Hawa sio waaminifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…