Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

Hawalei kima gani? Wakati wewe ndio kima mwenyewe , tena mwenye njaa ya ndizi. Stupid
Tzn hailei kima,ndio maana kima hawakuthubutu kuleta vurugu hata Moja kama Gen Z kwenye Yale matembezi Yao waliyoita maandamano yaliyoishia hewani 🤣🤣

Kima wamepigwa marufuku Ngorongoro,Sasa nendeni muone.
 
Watanzania bado wana matongotongo. Siku wakijua kunawa uso na kutoa matongotongo machoni. Moto utawaka kuliko wa Kenya.

Huwezi kuwa na nchi ambayo haina kiwanda cha magari wala tractor lakini ukinunua gari au tractor $5000 serikali inakutoza kodi $4000-6000. Halafu wanaona sawa.
Yaani amna siku nimesoma comments nzuri jf kama hii hapa...hii nchi we subiri tu ila live mm kijana nipo tayari kabisa kuingia pori kuitengeneza nchi yangu iliyojaa wasaliti. We need to 🥸them
 
Watanzania bado wana matongotongo. Siku wakijua kunawa uso na kutoa matongotongo machoni. Moto utawaka kuliko wa Kenya.

Huwezi kuwa na nchi ambayo haina kiwanda cha magari wala tractor lakini ukinunua gari au tractor $5000 serikali inakutoza kodi $4000-6000. Halafu wanaona sawa.
Acha uongo wewe nyumbu, tractor Ina Kodi sawa na zero plus other plants.
 
Back
Top Bottom