Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

Uko right in your perspective

But wrong if you consider ikulu siyo nyumba ya ruto…. Ni nyumba ya kiongozi wa Kenya… na ruto ni temporary tu
Hivi kiswahili kinakushinda?
"...Upo sawa kwa muono wako.Lakini,si sahihi ukiichukulia ikulu si nyumba ya Ruto...ni nyumba ya aliye/atakayekuwa kiongozi mkuu/rais wa Kenya. Na,Ruto ni wa muda tu"...!
Ulishindwa kuandika hivyo?
 
Back
Top Bottom