Kuna mdada alimvalisha mama mkwe pete yake ya ndoa akamwambia awe mke wa mwanae, kisa maneno maneno haya yasiyo na maana!Mke alikuwa anapenda kuvaa suruali na min skirt, sasa mama mkwe badala ya kumwambia kistaarabu na kwa hekima akawa anamkoromea tena mbele za watu akimwambia kuwa mwanae kaoa malaya, akamkuta huyo bidada nae mtoto wa mjini maneno yamemjaa hadi kidevuni siku moja akamvulia pete akamvisha mamkwe kisha akasepa hadi leo kaolewa na mwanaume mwingine.Wala haina haja ya kumpiga kofi,unamwita dada ake unamkabidhi nyumba aishi na ndugu yake we unafungasha unaondoka
anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!
Basi barikiwa na dada zako.....
usiendelee kumpotezea muda binti wa watu....
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.
Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.

kwani wewe unaoa mke ni wa kwako au unaoa mke wa familia ...oa mke bora na wala sio shepu
kwan wao n kna nan had watoe baraka,mungu pekee ndo mtoa baraka.yani shepu 2 ndo umuache mpnz wako?m nlijua kakusaliti.
hao dada zako wivu 2 umewajaa,we oa achana nao,kwan wao ndo watalala nae au ww?kuwa na msimamo usiyumbishwe
ua not crious!!! wee na hao madada zako!sipendi wanaume wanaopenda kusaidiwa mawazo haswaa na dada au mama zao..kwangu mi naona ni wanaume surualii!
Kuna mdada alimvalisha mama mkwe pete yake ya ndoa akamwambia awe mke wa mwanae, kisa maneno maneno haya yasiyo na maana!Mke alikuwa anapenda kuvaa suruali na min skirt, sasa mama mkwe badala ya kumwambia kistaarabu na kwa hekima akawa anamkoromea tena mbele za watu akimwambia kuwa mwanae kaoa malaya, akamkuta huyo bidada nae mtoto wa mjini maneno yamemjaa hadi kidevuni siku moja akamvulia pete akamvisha mamkwe kisha akasepa hadi leo kaolewa na mwanaume mwingine.
Wasomi halafu ovyoooo,ndo maana hawajaolewa,mbona sababu zao za kumkataa huyo binti ni very poor hata mtoto wa chekechea hawezi kuzitoa,duuh mawazo yao ni ya miaka ya 47 aisee
Kuhudumia na kupenda n vitu viwili tofauti broo,ungekua umependa ungeziba masikio
Umeona eeh,hajitambui huyu. Ngoja na mm nimuongezee......nyanoko gete.
Hv huyu ni mwanaume, wakiume au mvulana.
Kamnunulie zile tight zenye shepu kariakoo
anaye oa ni mimi ila baraka za ndugu wa tumbo moja ni muhimu sana!!