Mchumba kakataliwa kisa shepu

Mchumba kakataliwa kisa shepu

Wala haina haja ya kumpiga kofi,unamwita dada ake unamkabidhi nyumba aishi na ndugu yake we unafungasha unaondoka
Kuna mdada alimvalisha mama mkwe pete yake ya ndoa akamwambia awe mke wa mwanae, kisa maneno maneno haya yasiyo na maana!Mke alikuwa anapenda kuvaa suruali na min skirt, sasa mama mkwe badala ya kumwambia kistaarabu na kwa hekima akawa anamkoromea tena mbele za watu akimwambia kuwa mwanae kaoa malaya, akamkuta huyo bidada nae mtoto wa mjini maneno yamemjaa hadi kidevuni siku moja akamvulia pete akamvisha mamkwe kisha akasepa hadi leo kaolewa na mwanaume mwingine.
 
ua not crious!!! wee na hao madada zako!sipendi wanaume wanaopenda kusaidiwa mawazo haswaa na dada au mama zao..kwangu mi naona ni wanaume surualii!
 
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.

Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.

Samahani, hebu wawekee picha yake, nilikuwa niiweke lakini nime i missplace sijui wapi.
 
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa tunafanya kazi ofisi za karibu pale posta.

Ila walichonijibu ni kuwa nitafute mwingine kwa kuwa huyu hana shape hawajampenda. Huyu mchumba angu yeye ni slander (mwembamba). Jamani naombeni ushauri wenu nifanyeje sasa nimebaki njia panda.

Angalia kisa hiki labda utapata la kufanya.

Madada wawili ambao walikuwa wanakaa na kaka yao walikuwa wakimsumbua sana wifi yao. Ilifika mahali jamaa alikuwa hajui aegemee upande gani. Hali iliendelea kwa muda mrefu hadi mkewe akawa anatishia kuondoka amwache jamaa na dada zake. Bahati nzuri au mbaya jamaa alikuwa mtu wa kilaji.
Baada ya kutafakari sana akafanya uamuzi. Wakaongea kisiri na mkewe aende kwao kwa muda apate namna ya kuwafurusha dada zake pale nyumbani. Siku kadhaa baada ya mke wake kwenda kwao, jamaa akawa anarudi usiku mwingi tena amelewa kisawasawa. Siku ya siku akarudi akiwa bwi ile mbaya na akawagongea dada zake. Hawakuamini alichosema. Aliwaambia yeye kazoea kupata dozi ya papuchi na kwa kwa kuwa mkewe kaondoka kwa sababu ya mambo yao, kuanzia siku hiyo dada zake wapangiane zamu ya kutoa uroda kila siku. Akawambia anaenda chumbani kuoga na mmoja wao aingie ili amshughulikie. Walidhani kalewa lakini akakaza uzi mwisho wakajua yupo serious. kesho yake waliondoka bila kupewa nauli kurudi bush. Week iliyofuata jamaa karudisha kitu chake ndani.
 
kwani wewe unaoa mke ni wa kwako au unaoa mke wa familia ...oa mke bora na wala sio shepu
 
ua not crious!!! wee na hao madada zako!sipendi wanaume wanaopenda kusaidiwa mawazo haswaa na dada au mama zao..kwangu mi naona ni wanaume surualii!

usipoegemea kwenu kwa ushauri utatekwa ukweni...mke nomaa!!!
 
Kuna mdada alimvalisha mama mkwe pete yake ya ndoa akamwambia awe mke wa mwanae, kisa maneno maneno haya yasiyo na maana!Mke alikuwa anapenda kuvaa suruali na min skirt, sasa mama mkwe badala ya kumwambia kistaarabu na kwa hekima akawa anamkoromea tena mbele za watu akimwambia kuwa mwanae kaoa malaya, akamkuta huyo bidada nae mtoto wa mjini maneno yamemjaa hadi kidevuni siku moja akamvulia pete akamvisha mamkwe kisha akasepa hadi leo kaolewa na mwanaume mwingine.

huyo kweli alidhiirisha u.m.a.l.a.y.a. wake kwa kufanya hivyoo!!
 
Wasomi halafu ovyoooo,ndo maana hawajaolewa,mbona sababu zao za kumkataa huyo binti ni very poor hata mtoto wa chekechea hawezi kuzitoa,duuh mawazo yao ni ya miaka ya 47 aisee

...ninaimani watabadili misimamo yaoo!!
 
Back
Top Bottom