Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,266
- 1,264
Kuna mdada alimvalisha mama mkwe pete yake ya ndoa akamwambia awe mke wa mwanae, kisa maneno maneno haya yasiyo na maana!Mke alikuwa anapenda kuvaa suruali na min skirt, sasa mama mkwe badala ya kumwambia kistaarabu na kwa hekima akawa anamkoromea tena mbele za watu akimwambia kuwa mwanae kaoa malaya, akamkuta huyo bidada nae mtoto wa mjini maneno yamemjaa hadi kidevuni siku moja akamvulia pete akamvisha mamkwe kisha akasepa hadi leo kaolewa na mwanaume mwingine.Wala haina haja ya kumpiga kofi,unamwita dada ake unamkabidhi nyumba aishi na ndugu yake we unafungasha unaondoka