Huyu alikaidi maagizo ya kuzuia mikusanyiko mikubwa zaidi ya watu kumi ili kujilinda na kutoambukizana. Huyu alitaka waumini wake wasiogope coronavirus akidai Mungu atawalinda na hivyo waendelee tu kama zamani. Alichosahau huyu Askofu ni kwamba Mungu anakutaka ujilinde, Mungu hajaribiwi.yah yupo sahihi na huo ndo ukweli na utabaki hivyo milele
allah akbar
Hakuna anayepinga kwamba Mungu ni Mkuu, huyo atakuwa ni mfuasi wa shetani. Lakini kama unajua kwamba unachofanya ni hatari, halafu unakifanya kwa kumjaribu Mungu, huna tofauti na shetani mwenyewe.Binafsi ninaona yuko sahihi kwa 100%, kwa sababu ameendelea kumuona Mungu ni mkuu katikati ya vitisho vya kufa kwa Corona.
Katikati ya mambo yote, Mungu atabakia kuwa Mungu. Na katika mambo yote Mungu ni mkuu.
Kama alikaidi kujiepusha na mikusanyiko wakati wataalamu wakimuonya, maana yake iliutafisiri vipaya uweza wa Mungu na ukuu wake dhidi ya COVID 19. Na hapo ni haki kwake kuvuna alichopanda.Huyu alikaidi maagizo ya kuzuia mikusanyiko mikubwa zaidi ya watu kumi ili kujilinda na kutoambukizana. Mungu anakutaka ujilinde na siyo kumjaribu.
Matthew 4:5-7But his death doesn't change the truth of what he said. He may be weak in faith of what he said but I don't think someone here believes COVID19 is too big for God to handle unless you're Pagan.
Tatizo sio alichosema ila tatizo nani alialiyesema,View attachment 1419301
Askofu Gerald Glenn wa Kanisa la New Deliverance Evangelistic Church, Virginia USA.
Kwa habari zaidi bonyeza hapa chini...
Gerald Glenn: Bishop who said 'God is larger than this dreaded virus' dies of Covid-19
Mahakama kuu kitengo cha wanawake.
Na wewe subiri ukudake ndipo utajua kama kutubu kwako kulisaidia au hapana,nyie ndio KibweteleUmekosea sana!! Bado COVID -19 ni kagonjwa kadogo sana mbele ya Mungu. COVID -19 ni ugonjwa mkubwa sana mbele ya wanadamu lakini si mbele ya Mungu.
Bado hatujaelewa sana, yawezekana kabisa covid-19 ikawa ni pigo toka kwa Mungu kwa ajili ya uovu uliopo duniani. Ndio maana Rais wetu Mheshimiwa sana Dr Magufuli alinukuu maandiko akasema " Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu wakijinyenyekesha na kutubu dhambi zao ........".
Hapo Mungu ameweka masharti: Lazima kujinyenyekesha na kutubu!! Chini ys hapo pigo lipo pale pale!! Kwa hiyo jambo la kwanza ni kujinyenyekesha na kutubu kisha kukiri ukuu wa Mungu juu ya pigo hili kuwa kakorona ni kadogo sana kwa Mungu.
Tatizo watu hawataki kutubu! Katika mazingira hayo ni kujidaganya kudhani kuwa Mungu ataonyesha ukuu wake katika shida zako.
Mahali pengine kwenye Biblia panasema: "Mkono wa Mungu si mfupi hata asiweze kuokoa bali MAOVU yenu yamewafarakanisha na Mungu wenu"
Umefanya kosa kubwa sana la kumchokoza Mungu kwa kujaribu kutoa picha kwamba kwa kuwa huyo mchungaji smefariki basi kcovid-19 ni kubwa au ina nguvu kuliko Mungu.
Ushauri wangu: Tubu kwa dhati na Mungu atakusamehe. Vinginevyo utajua mwenyewe!!!
Aya yametokea wapi tena mkuuTatizo sio alichosema ila tatizo nani alialiyesema,
Race
hahahaha,, mjini mipangoDaud Bashite Naibu Rais yeyea anaamini Ndumba kupitia majini vinazuia corona, kakubali kutoa mapesa mengi kwa Le mutuz kwenda kumletea waganga wa kienyeji kibao eti watamsaidia kuzuia corona, le mutuz anakula pesa za Daud Bashite kwa njia haramu
Kuna tofauti kati ya "Mungu" na "mungu"Lakini Mbona Naibu Rais Daud Bashite asimami kwa mungu pekee, kasimama kwa shetani na mungu
Aisee umeileta hii on time. Baada ya kuingalaia kwenye TV nilikuwa pia nataka kuileta kwa maana ya kukumbushana kuwa kwenye mambo haya tusikubali kudanganywa wa wahubiri uchwara wasiokubaliana na sayansi. Hata pope Francis siku hizi hafanyi mahubiri mbele ya watu wengi, yeye ni mwanasayansi (Chemist), lakini hawa ambao ukishaingia kanisani wanapitisha bakuli tena la nguvu ambapo makusanyo hayajulikani yanakwenda wapi ni wa kuogopa sana. Wao wanataka watu waende kanisani na kuacha sadaka kuliko jambo jingine lolote. Kuna mmoja aliwaambia wafuasi wachangishe hadi anununue private jet.View attachment 1419301
Askofu Gerald Glenn wa Kanisa la New Deliverance Evangelistic Church, Virginia USA.
Kwa habari zaidi bonyeza hapa chini...
Gerald Glenn: Bishop who said 'God is larger than this dreaded virus' dies of Covid-19