Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Masai anafuata lini na yeye kupewa notice ya siku 60? Tunakupa siku 60 ukajitafakari kisha uamue uje ofisini makao makuu tuyamalize tukupeleke ukahudumu uko Kilwa Masoko kwenye Misikiti 99 au unakomaa na jiji unaanzisha kanisa lako?

Waislam ni wema sana kuliko Wakristu, baba Askofu huyu mchungaji apelekwe Kilwa patamfaa sana, namaanisha Kimaro sio Masai
 
Sikujuaga km Kuna wakristoo wana chuki Kali hivi na wanamchukia Kimaro hivii Tena live live daah...kweli Dunia Ina wanafiki wengi sana
Anyway hayanihusu lakini ila kupitia Kimaro nimejifunza kitu
 
Unajua kusimulia vizuri sana aisee, mwaga mchele mwaga mchele
 
Sikujuaga km Kuna wakristoo wana chuki Kali hivi na wanamchukia Kimaro hivii Tena live live daah...kweli Dunia Ina wanafiki wengi sana
Anyway hayanihusu lakini ila kupitia Kimaro nimejifunza kitu
Hivi umeziangalia zile clip?
 
Sikujuaga km Kuna wakristoo wana chuki Kali hivi na wanamchukia Kimaro hivii Tena live live daah...kweli Dunia Ina wanafiki wengi sana
Anyway hayanihusu lakini ila kupitia Kimaro nimejifunza kitu
Mimi ni Mkristo haswa lkn niwe mkweli.
Kuna majungu, chuki sana kanisani.
Watu wema ni wachache sana.

Wakristo wanaoijua kweli ni wachache sana.
Mimi sio kkkt but ninamtambua Kimaro kama mtumishi wa Mungu wa kweli.
Hata kosa mapungufu lkn haiondoi ukweli kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu
 
Aseehh...inasikitisha sana Tena humu nadhani Kuna watu Toka kanisani kwake na baadhi ya viongozi wenziwe na itakua wamefurahi mnooo mnakuja kumponda live humu
Daahh...wanadamu wanafiki sana tunajifanya watu wa Mungu kumbe tuna wivu mtupu,sadaka tunatoa kinafiki Kisha tunalalamika kwenye nyumba za ibada tunajifanya wapole Kuna hakuna lolote
 
Nchi ngumu hii.
Hakuna cha imani wala dini ni unafiki mtupu.
Tunapoteza muda nyumba za ibada bure
 
Vijana wakristu ni wezi na matapeli tofauti na vijana wa kiislamu, vijana wa kiislamu wanakuzwa kwenye malezi mazuri, sijasema Mimi kasema Kimaro
 
Mzee wewe una share kwenye ukoo wa Yesu? Mboni unajifanya Mesia? Kimaro amevuna alichopanda, ngoja niweke nikuta hapa nisije nikaonekana naongea sana na mimi wakanidyatua
 
Bongo hutakiwi kuwa na maoni yako na ukaya raise. Automatically utaonekana unajikweza ama kujifanya mjuaji.
 
Yuda escalioti sijui alifeli wapi angeanzisha kanisa nae
 
Lutheran pamoja na wito ila ni ajira pia unauwezo wa kuwapeleka mahakamani
 
Hata bila kuanzisha kwan sadaka anakosa?
Yaan mnawazA sadaka tu kwan mliambiwa kanisa ni mahala pa uchuuzi? Mpaka mliungana na mwendakuzimu ili mpige pesa!! kama shida yenu pesa Si mkauze nyanya huko kariakoo shimoni!!
Wanajisahau kwamba huyu jamaa ni mtoto wa Kilimanjaro. Ataungwa mkono na hao hao waumini wa Kijitonyama kufanya kitu kikubwa tu.
 
Nilishamwambia huyo jamaa kwamba mchungaji Kimaro ana advantage kubwa 2. Kwanza ni mchagga halafu pili ana upepo wa kichungaji. Anaweza akasepa na kijiji kabisa na hawata amini macho yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…