stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Masai anafuata lini na yeye kupewa notice ya siku 60? Tunakupa siku 60 ukajitafakari kisha uamue uje ofisini makao makuu tuyamalize tukupeleke ukahudumu uko Kilwa Masoko kwenye Misikiti 99 au unakomaa na jiji unaanzisha kanisa lako?ANAYEFATA NI MASAI WA KIMARA MWISHO.
Waislam ni wema sana kuliko Wakristu, baba Askofu huyu mchungaji apelekwe Kilwa patamfaa sana, namaanisha Kimaro sio Masai