Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

Jumapili Kama mtu sio mshirika wa kijitonyama asiruhusiwe kukanyaga ndani ya eneo.

Hata wao hawako tayari kuja kumsikiliza huyo Mchungaji Anna wenu [emoji108][emoji108][emoji57]

Bakini na mapokeo yenu na ibada za mwilini mnazotaka badala ya kumpa Roho Mtakatifu Uhuru wa mawazo ili atende kazi katika kuwapatia watu haja za mioyo yao!
 
Imeandikwa ; “ Palipo na Roho wa Mungu hapo ndipo palipo na uhuru”

Kitendo cha kulazimisha kufuata liturgia ni wazi kuwa Roho Mtakatifu hapewi nafasi.

Na hakuna Uhuru.

Na pasipo Roho Mtakatifu wa Mungu ni kazi bure!
 
Yaani jina la Bwana limekuwa likitukuzwa sana of a recently Kwa uamsho Mkuu ndani ya KKKT,

Watu wa nje wengi wamekuwa wakiwa -admire mno!

All over a suddenly mnafanya mapinduzi kwa kurudi nyuma mwilini badala ya kwenda mbele rohoni! [emoji848][emoji848]

Imeandikwa; “Mungu ni Roho nasi tumwabuduo imetupasa kumwabudu katika Roho na Kweli.
 
Pole sana.
Hii itakulipa kwa wakati wake.
Huwezi kufurahia mateso ya mtumishi wa Mungu akubaki salama.
Mambo haya ni magumu bora ukabaki nyutro kuliko kujifanya unajua
Hivi ameteswa...? hapana, amepewa barua ya likizo ya siku 60 tujikite hapo
 
Imeandikwa ; “ Palipo na Roho wa Mungu hapo ndipo palipo na uhuru”

Kitendo cha kulazimisha kufuata liturgia ni wazi kuwa Roho Mtakatifu hapewi nafasi.

Na hakuna Uhuru.

Na pasipo Roho Mtakatifu wa Mungu ni kazi bure!
Kila taasisi ina utaratibu wake, kama utaratibu wa Liturgia umekushinda, ondoka nenda kaanzishe taasisi yako.

KKKT ni taasisi kubwa, wewe na Eliona mmeikuta imara kwakuwa watu walikuwa wakali kusimamia misingi yake. Misingi ya taasisi haiwezi kuchezewa kwasababu zozote zile.

Kama hamtaki hizo taratibu, mko huru kuondoka na kuanzisha taasisi zenu kama Mungu atakavyowaongoza. Hata kama ni Baba Askofu anaona Liturgia haina maana, anapaswa kuondoka yeye na kutuachia kanisa letu kama alivyolikuta.
 
Tatizo hamkui,

Mnadumaa,

Matendo yenu kwenye jamii hayana tofauti na wasio amini.

Imeandikwa; “yatamanini maziwa yasioghoshiwa mpate kuukulia wokovu”
 
Tatizo hamkui,

Mnadumaa,

Matendo yenu kwenye jamii hayana tofauti na wasio amini.

Imeandikwa; “yatamanini maziwa yasioghoshiwa mpate kukua.
Ni kweli, mliokua kiroho ni nyie mnaobeba mabango na kuandamana kisa Mchungaji amehamishwa, mnaamini katika mchungaji na sio MUNGU.
 
Ni kweli, mliokua kiroho ni nyie mnaobeba mabango na kuandamana kisa Mchungaji amehamishwa, mnaamini katika mchungaji na sio MUNGU.

Usichanganye habari.

Wa kuamininiwa ni Mungu tu.

Kumkubali Mchungaji fulani badala ya mwingine ni sahihi kabisa wala si kosa.

Imagine Mchungaji mwingine halali anamsihi Roho wa Mungu ampe jambo la kuwaambia waamini sio mchezo,

Wakati huo kuna wachungaji wa mwilini wenyewe hawanaga kukesha kuitafuta uso wa Bwana na kumsihi Roho Mtakatifu awape jambo la Kunena wala nini ![emoji848][emoji848]

Watu wanaingia kanisani na kutoka Kama walivyoingia bila badiliko lolote Januari mpaka December kila Mwaka.

Mtu haongei na jirani yake huku hali hiyo ikiwa haimsumbui wala nini!

Ndio maisha ya mwilini mnayotaka watu kuyaishi.
 
Mtegemeeni Mungu, jiombeeni kama mlivyofundishwa. Kama wewe ni mlutheri kweli utakuwa unajua Lutheran hatutegemei mchungaji, tunamtegemea Mungu pekee.

Kama unaingia kanisani na kutoka bila badiliko lolote hilo sio kosa la Mchungaji wako, ni imani yako ndogo.

Halafu nimefanya uchunguzi nikagundua asilimia kubwa ya watu wenye hoja kama zako sio walutheri na hamuijui misingi ya KKKT ndio maana mnapiga makelele na kuandamana.

Hakuna mtu wa kukesha kukuombea wewe,kesha ukijiombea mwenyewe kwa Mungu wako, muamini Mungu wako. Heshimuni misingi ya KKKT au mrejee kwenye makanisa yenu ya pokea ghorofa, pokea V8.
 
Ukishaona taasisi imejaa wachaga jua hakuna kinachoendelea zaidi ya upigaji
Naomba ku declare kabisa mimi nimekulia kkkt kuanzia sunday school, kipaimara mpak sas najielewa. Ukwel ni kwamba kanisa letu limejikita kuhubiri michango na utoaji kuliko kuponya na kuinua watu spiritually ndo mana kuna ma conflict of interest
 
Malasusa atapinga hii atasema wewe Chadema
 
Kuna kipindi dayosisi haikuwa na katibu mkuu, kwa hiyo pastor wa kimara MASAI alipewa ukatibu mkuu kwa mda ili dayosisi ijipange kutafuta katibu mkuu.

Sasa kumbe wakati Masai amewekwa pale akakuta kuna mashtaka yanayo mhusu KIMARO kumbuka masai na kimaro ni pete na kidole, ikabidi jamaa avujishe siri kwa kimaro, sasa kwa sababu friji haigandishi ya kimaro akaja kanisani akasimanga akajisahau mpaka akamtaja mchungaji Anna, hapo ndipo siri ilipofichuka na kuonekana kuna kitu hakipo sawa kanisani.

Na baada ya ibada ile nahisi wakubwa waliona jamaa amevuka mipaka sasa wakaamua wamle kichwa, alipokua anaelekea alikua anataka kujiona Mungu.
Umeandika kwa ushabiki sana. Hili kanisa (viongozi) hawapendi wachungaji wenye maono. Unamwongelea Kimaro na Mtasai these guys have visions angalia impact kwenye sharika zao. Mnataka wachungaji wanaosinzia.
 
Back
Top Bottom