Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

vijana wa pole humu hamna akili sijui anawatoa wap
 
Yaani ni vituko na mazingaombwe kila mahali kwa kweli.Mimi kuna wakati najiuliza hivi hizi mbwembwe na vituko kila leo ni kwa maslahi ya nani. Iko shida mahali kwa kweli sio bure.
 
Utafiti unaonyesha kwamba hakuna mtu yeyote wa maana siku hizi anayeunga mkono ccm , wamebaki wachumia tumbo tu
Kuna group mbili ndio usapoti kile chama cha ujamaa ni either uwe ni mnufaika hapa utawakuta wapiga dili wa awamu hii,wahamiaji haramu hasa warundi kupata covers, watumwa wa hiari walionunuliwa kwa kuhongwa teuzi au pili ni lzm uwe ni mnyonge ( a future less person) hapa unawakuta kula kulala wote kina mama wa nyumbani hoe hae wote nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…