SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kubaki JFKesho anakuja nyumbani CCM.Utaficha wapi thread yako kesho wewe jamaa
au kumuua
vijana wa pole humu hamna akili sijui anawatoa wapMh. Rais na Msigwa ni ndugu na pia ndugu wa Msigwa waliomba mchango kwa mh. Rais baada ya kujichanga na kupata 2 mil, ikabakia mil 38, Mh. Rais akatoa kwa huruma kama ndugu yake baada ya kuombwa. Sasa hapo kuna ubaya gani? Sema Msigwa ana deko sana ila atapata shida siku moja na atakosa msaada kabisa, shauri yake
Kwani atakuwa wa kwanza?Mjipepetue weeee mara paaaaap! Msigwa aachana na CHADEMA na kujiunga na CCM ndio mashavu yatakapo washuka
Hii fungulia thread yake.Mjipepetue weeee mara paaaaap! Msigwa aachana na CHADEMA na kujiunga na CCM ndio mashavu yatakapo washuka
Mjipepetue weeee mara paaaaap! Msigwa aachana na CHADEMA na kujiunga na CCM ndio mashavu yatakapo washuka
Utafiti unaonyesha kwamba hakuna mtu yeyote wa maana siku hizi anayeunga mkono ccm , wamebaki wachumia tumbo tuMasikini chakubanga ameumbuka pale segerea na amekiabisha cha cha mapinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi kuendelea sijui kama itaendelea . Jamhuri inamshtaki mtu .. anahukumiwa kutoa faini , watu wanajichanga ili wamtoe ... Halafu sehemu ya jamhuri ambao ndio walimshtaki Huyo mfungwa wanajichanga na wao wamtoe mtu waliomshitaki ... Hahaha hii nchi Mungu ndio anajua tunakoelekea...
Mungu Kama upo kweli tuondolee hizi aibu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ya mashinji vipi ililipwaCcm hawajalipa cash..walichofanya ni kutoa malikauli bank na mahakaman...washenzi sana..
Atarekodi atarusha uliona wapi mawimbi ya sauti yakazuilikaPolisi lazima watamzuia ili kumsitiri Bwana yule.
Kuna group mbili ndio usapoti kile chama cha ujamaa ni either uwe ni mnufaika hapa utawakuta wapiga dili wa awamu hii,wahamiaji haramu hasa warundi kupata covers, watumwa wa hiari walionunuliwa kwa kuhongwa teuzi au pili ni lzm uwe ni mnyonge ( a future less person) hapa unawakuta kula kulala wote kina mama wa nyumbani hoe hae wote nkUtafiti unaonyesha kwamba hakuna mtu yeyote wa maana siku hizi anayeunga mkono ccm , wamebaki wachumia tumbo tu
Waliomba au walilazimisha?Si ndugu waliomba msaada asaidiwe tatizo nini? Magufuli ana muda wa kujipendekeza kwa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa sio wa kwanza.Mjipepetue weeee mara paaaaap! Msigwa aachana na CHADEMA na kujiunga na CCM ndio mashavu yatakapo washuka
uliona hata risiti ya malipo ?Ile ya mashinji vipi ililipwa
uongo utakusaidia nini ?Si ndugu waliomba msaada asaidiwe tatizo nini? Magufuli ana muda wa kujipendekeza kwa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app