Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Kwani mumeusahau ule msemo unaosema mshamba akija mjini mwenyeji yuko mashakaniKikwete alijua yote haya lakini bado akaamua kuiuza nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mumeusahau ule msemo unaosema mshamba akija mjini mwenyeji yuko mashakaniKikwete alijua yote haya lakini bado akaamua kuiuza nchi
100%, kunakitu kisichoeleweka haya mambo hayawezi kuwa hivihivi tu, tusubiri muda uongee.Yaani ni vituko na mazingaombwe kila mahali kwa kweli.Mimi kuna wakati najiuliza hivi hizi mbwembwe na vituko kila leo ni kwa maslahi ya nani. Iko shida mahali kwa kweli sio bure.
Aliondoka slaa cdm sio mtu ewe maamuma wa buku7.Mara paaaa anatangaza kuhamia Chama cha kweli.
Mjipepetue weeee mara paaaaap! Msigwa aachana na CHADEMA na kujiunga na CCM ndio mashavu yatakapo washuka
Kwa maana hiyo mmeamua kumshawishi kwa 38,000,000???Sawa haina shida hamkawii kuja hapa na hoja zenu mara oo tulilijua hilo kabla
Mjipepetue weeee mara paaaaap! Msigwa aachana na CHADEMA na kujiunga na CCM ndio mashavu yatakapo washuka
Kuhama chama hiyo ni haki ya mtu kabisa hakuna anaye mkataza ili mradi aseme mwenyewe kuwa anahama.
In God we Trust
Si ndugu waliomba msaada asaidiwe tatizo nini? Magufuli ana muda wa kujipendekeza kwa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jipya zaidi ya kutafuta huruma ya wapiga kura.View attachment 1386246
Wale wanaolazimisha undugu kukiona cha moto , kwa kadiri ninavyomfahamu mtu huyu ambaye hajawahi kumung'unya maneno naamini kesho kuna watu watakimbia kwa aibu.
Mjipepetue weeee mara paaaaap! Msigwa aachana na CHADEMA na kujiunga na CCM ndio mashavu yatakapo washuka
Le Mutuz ni rafiki na mshauli mkubwa wa Bashite, halafu Bashite ni kijana pendwa na mshauli mkuu wa baba mwenye nyumba halafu ukae ulitegemea different results na haya yanayotokea Tanzania.
Mchungaji Msigwa hana sababu ya kusema lolote ambalo litaonekana kuwa baya kwa mtu yeyote.
Hana sababu kabisa ya kuongeza chochote kitakachoonyesha utofauti wa vitendo vyake alivyoonyesha baada ya kutoka kifungoni na wengi waliomtangulia ndani ya chama chake waliotimkia upande wa pili.