Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mh. Rais na Msigwa ni ndugu na pia ndugu wa Msigwa waliomba mchango kwa mh. Rais baada ya kujichanga na kupata 2 mil, ikabakia mil 38, Mh. Rais akatoa kwa huruma kama ndugu yake baada ya kuombwa. Sasa hapo kuna ubaya gani? Sema Msigwa ana deko sana ila atapata shida siku moja na atakosa msaada kabisa, shauri yake
msaada gani akose Msigwa alishateseka sana na CHADEMA kipindi hiki cha magu sasa anakuja kujipendekeza kwa hukumu ya kupangwa jingaz Msigwa hategemei cha nduguye
 
Najiuliza ukiangalia risiti Chadema walilipa mapema sasa toka lini Control Number moja ikafanya malipo Mara mbili?
Labda Control number ya Msigwa iliandaliwa special malipo itafanya zaidi ya x2 na hata Mzee wa Tlp angetaka angemlipia
 
CCM is no longer a political party rather a gang of useless greedy street dogs.
Ushahidi Mwingine kwamba ccm haina tena viongozi sasa inataka kila mpinzani awe mwana ccm.

planing zao na mikakati yao ni yakizamani sana wameacha kuwekeza kwenye kutengeneza viongozi wamebaki kuwawaza viongozi wa upinzani what shame!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahahahahha haya sasa ccm waje tunyang`anyane tena waliobaki ndani Mbowe na Heche nani atawahi kuwalipia kama wanahuruma kweli na viongozi wa CHADEMA
Jamaa na genge lake wangejijengea heshima kubwa sana kwa jamii na kimataifa kama wangewaombea msamahaa yaani DPP apewe maagizo atoe msamahaa wangejibebea point sana.Kuliko ya kumfunga MTU kisha wanamlipia fine sijawahi ona hii duniani nzima iweke kwenye Guines record
 
Kuna haja ya cdm wafungue bank yao mtaji wanao wateja ni wanachama wengi wangechangia moja kwa moja kupitia bank maana wengi pia usita kuchanga sababu ya shaka za baadhi ya namba
 
Ccm inahitaji kosa moja tu ili ifutike kama KANU ya Kenya kwa kosa moja tu ikapotea
 
Nyie ni wapuuzi wote
Mh. Rais na Msigwa ni ndugu na pia ndugu wa Msigwa waliomba mchango kwa mh. Rais baada ya kujichanga na kupata 2 mil, ikabakia mil 38, Mh. Rais akatoa kwa huruma kama ndugu yake baada ya kuombwa. Sasa hapo kuna ubaya gani? Sema Msigwa ana deko sana ila atapata shida siku moja na atakosa msaada kabisa, shauri yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni aibu ya karne kwa rais na Pole pole wake. Yaani wamfunge halafu wamlipie fine! Wanachezea mali zetu kwa tamaa ya madaraka na sifa. Hii ni aibu. Asante sana Msigwa kwa kuwa umbua wanafiki na wapenda sifa wasizostahili
 
Back
Top Bottom