pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
ukiwa na kichwa kikubwa bila akili ni mzigo kwa miguuHongera mh Rais JPM Kwa kumlipia faini msigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiwa na kichwa kikubwa bila akili ni mzigo kwa miguuHongera mh Rais JPM Kwa kumlipia faini msigwa
akili yake nayo inafikiri polepoleDuh, ccm hatari.polepole amebaki kituko
msaada gani akose Msigwa alishateseka sana na CHADEMA kipindi hiki cha magu sasa anakuja kujipendekeza kwa hukumu ya kupangwa jingaz Msigwa hategemei cha nduguyeMh. Rais na Msigwa ni ndugu na pia ndugu wa Msigwa waliomba mchango kwa mh. Rais baada ya kujichanga na kupata 2 mil, ikabakia mil 38, Mh. Rais akatoa kwa huruma kama ndugu yake baada ya kuombwa. Sasa hapo kuna ubaya gani? Sema Msigwa ana deko sana ila atapata shida siku moja na atakosa msaada kabisa, shauri yake
ahahahahha haya sasa ccm waje tunyang`anyane tena waliobaki ndani Mbowe na Heche nani atawahi kuwalipia kama wanahuruma kweli na viongozi wa CHADEMAAtakula manyoya demu ameliwa na wajanja
Labda Control number ya Msigwa iliandaliwa special malipo itafanya zaidi ya x2 na hata Mzee wa Tlp angetaka angemlipiaNajiuliza ukiangalia risiti Chadema walilipa mapema sasa toka lini Control Number moja ikafanya malipo Mara mbili?
Ushahidi Mwingine kwamba ccm haina tena viongozi sasa inataka kila mpinzani awe mwana ccm.
planing zao na mikakati yao ni yakizamani sana wameacha kuwekeza kwenye kutengeneza viongozi wamebaki kuwawaza viongozi wa upinzani what shame!
Jamaa na genge lake wangejijengea heshima kubwa sana kwa jamii na kimataifa kama wangewaombea msamahaa yaani DPP apewe maagizo atoe msamahaa wangejibebea point sana.Kuliko ya kumfunga MTU kisha wanamlipia fine sijawahi ona hii duniani nzima iweke kwenye Guines recordahahahahha haya sasa ccm waje tunyang`anyane tena waliobaki ndani Mbowe na Heche nani atawahi kuwalipia kama wanahuruma kweli na viongozi wa CHADEMA
Mh. Rais na Msigwa ni ndugu na pia ndugu wa Msigwa waliomba mchango kwa mh. Rais baada ya kujichanga na kupata 2 mil, ikabakia mil 38, Mh. Rais akatoa kwa huruma kama ndugu yake baada ya kuombwa. Sasa hapo kuna ubaya gani? Sema Msigwa ana deko sana ila atapata shida siku moja na atakosa msaada kabisa, shauri yake
Rudia kusoma ulichokiandika halafu utuambie umeelewa nini!?Si ndugu waliomba msaada asaidiwe tatizo nini? Magufuli ana muda wa kujipendekeza kwa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale walioenda kumchukua ndiyo wale wanaoitwa wasiojulikana ila kwa wakati huu walitaka kujionesha ni wasamariaNahisi walitaka kumchukua msukule
Jana baada ya kujimwambafy kuwa wamemlipia mch msigwa wakaandaa na gari Sasa najiuliza walikuwa wanaenda nae wapi?
Au walitaka wakampe kadi?
Sent using Jamii Forums mobile app