Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

Habari,

Hii ni baada ya Polepole na team yake ya Lumumba kujaribu kutafuta Kiki ya kisiasa kupitia hukumu ya viongozi wa Chadema.

Naona walizidiwa akili, documents za ushahidi wa malipo Chadema wamezitoa lakini ccm hawajazitoa.
WAKO WAPI WANA MIKAKATI MAHIRI WA CCM ...WAMEWAACHIA HAWA "UKAWA2015" SECRETARIAT YAO ONA SASA COMEDY .............YAANI INACHEKESHA
 
View attachment 1385910View attachment 1385910

Polepole ni mpuuzi anafanya watu kama bidhaa,siasa zisitutoe utu. Akakimbuke tu kulikuwa na kina Nape na Mwigulu kabla ambao hajafika hata robo ya ujinga wao lakini wako wapi sasa

Sasa Msigwa akiongea hovyo, tunamrudisha mahakamani, achunge ulimi wake, si anaringa tumejaribu kumsaidia hataki, sasa akienda mahakamani tena hakuna msaada tena hata akiita Magufuliiiiiii njooooooo baba njooooo Mh. Rais njoooooooo hakuna tena kumsaidia.. Shauri yake 😅😅😅
 
.
IMG-20200312-WA0101.jpeg


Jr[emoji769]
 
Hivi Hawa Mapandikizi hapo secratariat Lumumba wameishiwa mbinu kabisa .....mbona wanatia aibu na mbinu za kitoto>???

SHAME
SHAME
SHAME

Mh. Rais na Msigwa ni ndugu na pia ndugu wa Msigwa waliomba mchango kwa mh. Rais baada ya kujichanga na kupata 2 mil, ikabakia mil 38, Mh. Rais akatoa kwa huruma kama ndugu yake baada ya kuombwa. Sasa hapo kuna ubaya gani? Sema Msigwa ana deko sana ila atapata shida siku moja na atakosa msaada kabisa, shauri yake
 
Back
Top Bottom