Pre GE2025 Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Najua utashambuliwa sana ila ushindi wa Sugu msela dhidi ya Msigwa unaonesha hali halisi ya jinsi uongozi katika taifa letu unavyochukuliwa kimchezo mchezo. Siku tu ya mdahalo Sugu alishindwa kujizuia akamtusi mdada aliyemhoji kwa kumwambia "hovyoo".

Hata hivyo ni haki ya kila mtu kuchaguliwa kuwa kiongozi kama ana vigezo, tatizo ni kwa wanamchagua.
 
Safi sana. Demokrasia imekomaa sana CHADEMA. I hope rufaa yake itasikilizwa kwa haki na atakubaliana na tokeo yoyote ya rufaa.

NB:
Kuna kile chama huwa wanakuwa na majina ya washindi wa chaguzi zao mfukoni. Wakae mbali na huu uzi.
 
Wakati Membe amefukuzwa ccm na dhalimu Magu na kuitisha press, mbona hao walimu wa siasa huko ccm hawakujitokeza na kumpa utaratibu wa kukata rufaa?
Unampa utaratibu mtu anayeujua

CCM ilishughulika naye akatoroka Hadi CCM mwenyewe mchana kweupe na Chadema ishughulike na Msigwa Hadi atoroke Chadema mwenyewe

Taratibu za kukata rufaa ziko wazi nani ya katiba kisa Cha kwenda press ni Nini kama sio ukorofi?
 
Safi sana. Demokrasia imekomaa sana CHADEMA. I hope rufaa yake itasikilizwa kwa haki na atakubaliana na tokeo yoyote ya rufaa.

NB:
Kuna kile chama huwa wanakuwa na majina ya washindi wa chaguzi zak mfukoni. Wakae mbali na huu uzi.
Sijui kwanini wale watu wamechanganyikiwa!
 
Safi sana. Demokrasia imekomaa sana CHADEMA. I hope rufaa yake itasikilizwa kwa haki na atakubaliana na tokeo yoyote ya rufaa.

NB:
Kuna kile chama huwa wanakuwa na majina ya washindi wa chaguzi zak mfukoni. Wakae mbali na huu uzi.
Sasa Msigwa anakata rufaa ya Nini kama hakukuwa na mtu mwenye jina la mgombea mfukoni?
 
Kadanganye wajinga wenzio huko kwenye vijiwe vya mama John na Ilemi na Mabatini. Sugu hana mchango wowote kwenye upanuzi wa hizo hospitali na hakuwa na uwezo wa kumshawishi ULISUBISYA.

Yeye ni mtu wa yoyo man tu na kugongesha bangi vijiweni
Hutaki unaacha tu
 
Niliwahi kusema hapa jamvini kwamba muda siyo mrefu itajulikana Wabunge wa Viti Maalum akina Halima Mdee na wenzake walifikaje Bungeni na Kwanini Mnyika hakushtaki Mahakamani kama kweli akina Mahera waligushi Saini yake

Mchungaji Msigwa ambaye alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu anasema Chadema kuna Fitina na Uhuni Mkubwa

Credit: Jambo TV

Ngoja tuone🐼

RIP Shujaa Magufuli
=====

Pia soma:
 
Huyuhuyu mvuta bangi mabalozi wanamtembelea kwake siyo yeye kwenda kwa mabalozi.

Sugu ndiye mgombea aliongoza kwa kura za ubunge 2010 ina maana hao wote waliompigia kura hawana akili?
Kwenye jamii yoyote wenye akili huwa ni wachache mno.

Huwa hawazidi 5% ya total population.
 
Sasa sisi tufanyeje mkuu???
 
Mkuu hakika umenena hapa msigwa anatafuta sababu tu ya kuondokea atasema hajatendewa haki ata huko anakoenda kukata rufaa
 
Huko ccm hakufukuzwa kwa nguvu ya mwenyekiti wa ccm, Bali alifukuzwa kwa kofia ya urais, ambapo state apparatus zilitumika kumkomoa.
 
Msigwa alikuwa ccm muda mrefu toka enzi za dhalimu magu, ila alikuwa anaogopa kuondoka kwa sababu angesimangwa na wanacdm. Kwa sasa amepata njia ya kuondokea. Hata akitaka kuondoka itakuwa sawa tu, akajipatoe mlo huko ccm. Mimi akiondoka Lisu ndio itakuwa pigo.
 
Inahusiana vipi na covid 19? Kama CDM walifanya uhuni basi wana nguvu kubwa mno ndani ya nchi hii mpaka wamtoe kada wao gerezani usiku wa manane na kumsafirisha mpaka Dom!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…