JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
Una miaka mingapi bro! Tumeishatoka huko, siku hizi kuna machine za kufuria, kupika unaweza kujifunza tu kupitia mitandao,Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.
Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora
Hakikisha frorence anajua kupikaGentleman,
ikiwa wewe unajua kupika,
nadhani unaweza kuchukua muda wa chini ya wiki tu, kumtrain huyo binti kupika chakula ukipendacho na mambo mengine ya ziada yakasonga as family.
Hata kama wew ni mfanyibiashara na yeye hajui biashara, unaweza kumpa training ya muda fulani na akawa na experience ya biashara na kisha as family mkawa mnasaidia majukumu na kazi hizo za kifamilia 🐒
Hapo Atakosea Akipikia WengineAkihitimu akawapikie wengine?
Hapo Atakosea Akipikia WengineAkihitimu akawapikie wengine?
Umeongea kitaalamu sana mkuu.Shule, tuition, homework, chuo, and labda baadaye kazi/sjira/biashara.
Unatarajia ajifunze muda gani wakati nyumbani kuna house girl anayetakiwa kuhakikisha kila wakitoka kwenye mizunguko hiyo wakute chakula tayari?
Kwa kukusaidia ni kwamba, ukiamua kuoa bint wa aina hiyo lazima sehemu ya mfumo wa maisha aliyokuwa akiishi kwao ui adopt pia kwake ili aendelee kuwa Mwanamke yule uliyempenda na kuvutiwa naye, ndiyo maana tunapohamisha mmea uliiota ili kwenda kuupandikiza kwingine huwa tunahamisha mmea na sehemu ya udongo wa hapo ulipokuwepo huo mmea.
Kimgine ni je, unaoa mwanamke wa kisasa au umeenda kuoa miaka ya 80?
😀😅😆😁🤣😂😴😄😃veta wanafundisha kupika ugali wa uwele/mtama na mboga za irimbe/nsansa?
ni ngori 🐒Hakikisha frorence anajua kupika
Utatapika mahari
hao wadada wa ushuani.Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.
Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora
Hiyo Dunia unayoiongelea kwa sasa haipo na haiwezi kurudi tena so hata hiyo michezo na lifestyle Hilo halipoKuna michezo ya kitoto ilikuwa ni msingi wa kuja kuwa imara ukiwa mkubwa na unawajibika vema na familia yako uliyoianzisha. Watoto walicheza kinyumbanyumba, kujipilikisha udongo/mchanga na baadaye chakula cha halisi. Huko kinyumbanyumba kuna mama na baba, mengine waliyoyafanya ni zoezi tosha ukubwani na usitake nikuambie siri za michezo ya utotoni. Sasa kama mtoto hajapitia mambo ya umama mama na ubaba baba si ukubwani akiingia ndoani ataonekana kituko? Mambo mengi muhimu ndani ya unyumba alitakiwa ayajue na kuyafahamu tangu akiwa mtoto, si vibaya na si dhambi, asili ndivyo ilivyo
sawa, si ndiyo achukue nguo za mumewe akafue kwa mashine?Dunia imetoka huko zamani na vigezo vimeshabadilika,kama kufua mashine zipo zina fua vizuri kweli
Kaz kuonyesha sura mitandaoni😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukweli mtupu
tumeishaji adjust, isiwe taabu tunapikaNadhani wanaume tunatakiwa kubadilisha mindset kwani nyakati na zama zimebadilika.....sasa hivi tunaishi kwenye corporate world.....
Siasa za uchumi wa dunia zinatoa fursa sawa bila kuangalia jinsia kwenye shughuli za uzalishaji mali..... hivyo wazazi na walezi wanawaandaa vijana na skills za kuuzika kwenye uchumi wa dunia....
Sasa jamii kuanzia ngazi ya familia wana ndoto kubwa juu ya mabinti zao ndio maana wanaingia gharama za kuwapatia elimu na maarifa mengine ya kidunia......
Kwa muktadha huo ni ngumu kumpata traditional woman kwenye corporate world....hivyo basi wanaume tunatakiwa kuji adjust ili kuweza kufit kwenye ulimwengu wa sasa.......