LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
mjuba unataka kusema siku hizi kuna AI za kupika?Una miaka mingapi bro! Tumeishatoka huko, siku hizi kuna machine za kufuria, kupika unaweza kujifunza tu kupitia mitandao,
mjuba unataka kusema siku hizi kuna AI za kupika?Una miaka mingapi bro! Tumeishatoka huko, siku hizi kuna machine za kufuria, kupika unaweza kujifunza tu kupitia mitandao,
Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.
Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora

Gentleman,
ikiwa wewe unajua kupika,
nadhani unaweza kuchukua muda wa chini ya wiki tu, kumtrain huyo binti kupika chakula ukipendacho na mambo mengine ya ziada yakasonga as family.
Hata kama wew ni mfanyibiashara na yeye hajui biashara, unaweza kumpa training ya muda fulani na akawa na experience ya biashara na kisha as family mkawa mnasaidia majukumu na kazi hizo za kifamilia
ALiyempa kazi hiyo ya kupika ugali, alikua anafahamu uwezo wa kupika wa muhusika?hao wadada wa ushuani.
Kuna kiongoz mkubwa wa selikali hapa dar, mabint zake wanaweza kaa ndan bila kutoka wiki nzima...
Wanachezea sim/laptop tu.
Siku moja bint mkubwa akatupikia ugari wa dona duu ni aibu hata wali hafaham.
MIM NAONA TATZO NI MALEZI
Unataka uwe unalishwa mavyakula ya mtaani tu. Usipokuwa makini mpaka Nguo za ndani atafua house girlKwa sasa kupika + kufua sio issue tena, Japo nategemea demu wa hv atoke rich familly.
Kujifunza kupika ni suala la muda mchache sana kuliko muda wa kukaa kwenye ndoa,Yaani hii ni ajabu , umeolewa harafu eti nikupeleke VETA ukajigunze kupika hii inaingia akilini, labda kama unataka kufungua mgahawa
Unatetea uzaifu wadada zakoUna miaka mingapi bro! Tumeishatoka huko, siku hizi kuna machine za kufuria, kupika unaweza kujifunza tu kupitia mitandao,
Kabisa na vitu vya kupika ndani vipoKimasihara unaweza Kushindia,Chai na Mkate hivi hivi
Kumebadilika, nadhani Mabinti wa mjini hawafundishwi kumpikia mwanaume, wala hawaambiwi hayo mambo.Umewasilisha tatizo ambalo linaanza kuwa common miongoni mwa mabinti wengi sasa
Hii imesababishwa na Wazazi wengi kuwalea watoto kisasa kama mayai, bila kuwafundisha hizo skills muhimu za kumuandaa kuwa mama bora baadaye
Hata vijana wa Kiume nao kushindwa hata kuchemsha chai, nalo ni tatizo
Kuna siku mke anakuwa amelazwa unashindwa hata kumpikia uji 🙌
Hapo ndipo wazazi tunapokoseaKumebadilika, nadhani Mabinti wa mjini hawafundishwi kumpikia mwanaume, wala hawaambiwi hayo mambo.
tena ni mama ake mwenyew aliacha maelekezo apike, kwani wao na wadada wakaz wote walikua wanaenda kuabudu j,pili.ALiyempa kazi hiyo ya kupika ugali, alikua anafahamu uwezo wa kupika wa muhusika?
Sawa mkuu, kama uliyoandika ni kweli basi huenda aliamua kumkomoa.tena ni mama ake mwenyew aliacha maelekezo apike, kwani wao na wadada wakaz wote walikua wanaenda kuabudu j,pili.
na tulio baki wote wakiume isipokuwa yeye mdada.
Na sijui kama anafaham upish wa mwanae jikon maana nae mama harakat nyingi.
mim nadhan hata mama ake hakujua kama bintie hafaham kupika.Sawa mkuu, kama uliyoandika ni kweli basi huenda aliamua kumkomoa.
Maana ni jambo la kushtukiza sana familia nzima iende huko kwa ibada (including wafanyakazi) alafu binti yao mkubwa wamwache na kumpa jukumu hilo, la kupika ugali mchana
Kuna mabadiliko yanaendelea kwenye baadhi ya jamii. Ni kama uzazi bora haupimwi tena na namna tulivyokuzwa. Kijana wa kiume inabidi aadupt, ni kama vile familia hazikuzi mabinti zao na kuwapa elimu kwa ajili ya mwanaume.Hapo ndipo wazazi tunapokosea
Mabinti na vijana wetu lazima watayarishwe kuwa Wazazi wa baadaye
Sisi tuliozaliwa zamani tulikuwa tunapewa mafunzo kupitia Jando
Siku hizi hakuna kabisa