Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

Ukistaajabia ya Mussa utayaona ya Firauni...Sasa hivi hata utelezi ukeni hawana. Ukiwaita Lodge wanakuja na mafuta ya nazi au mafuta ya parachute
 
Wao wanachojali ni utume na ya kutolea
 
Ni muhimu mwanamke kujua majukumu yake ya msingi, haiwezejani Kila kitu akafanya binti wakazi. Ngumu hata kama wewe mwanamke ni waziri. Mh Rais alisema yeyehuwa anaingia jikoni, sembuse hao akina pangu pakavu
 
Yaani hii ni ajabu , umeolewa harafu eti nikupeleke VETA ukajigunze kupika hii inaingia akilini, labda kama unataka kufungua mgahawa
 
ALiyempa kazi hiyo ya kupika ugali, alikua anafahamu uwezo wa kupika wa muhusika?
 
Yaani hii ni ajabu , umeolewa harafu eti nikupeleke VETA ukajigunze kupika hii inaingia akilini, labda kama unataka kufungua mgahawa
Kujifunza kupika ni suala la muda mchache sana kuliko muda wa kukaa kwenye ndoa,

Mtoa mada kabila gani?
 
Kumebadilika, nadhani Mabinti wa mjini hawafundishwi kumpikia mwanaume, wala hawaambiwi hayo mambo.
 
Kumebadilika, nadhani Mabinti wa mjini hawafundishwi kumpikia mwanaume, wala hawaambiwi hayo mambo.
Hapo ndipo wazazi tunapokosea

Mabinti na vijana wetu lazima watayarishwe kuwa Wazazi wa baadaye

Sisi tuliozaliwa zamani tulikuwa tunapewa mafunzo kupitia Jando

Siku hizi hakuna kabisa
 
ALiyempa kazi hiyo ya kupika ugali, alikua anafahamu uwezo wa kupika wa muhusika?
tena ni mama ake mwenyew aliacha maelekezo apike, kwani wao na wadada wakaz wote walikua wanaenda kuabudu j,pili.

na tulio baki wote wakiume isipokuwa yeye mdada.

Na sijui kama anafaham upish wa mwanae jikon maana nae mama harakat nyingi.
 
Reactions: Lax

Sawa mkuu, kama uliyoandika ni kweli basi huenda aliamua kumkomoa.
Maana ni jambo la kushtukiza sana familia nzima iende huko kwa ibada (including wafanyakazi) alafu binti yao mkubwa wamwache na kumpa jukumu hilo, la kupika ugali mchana
 
mim nadhan hata mama ake hakujua kama bintie hafaham kupika.
Kwan hawafatilii kivile.

Na mama ni kiongoz kansa la askof kakobe mwenge huko.
Hua anawashawish nyumb nzima kwenda kuabudu kule hata kama wew ni r.c
Sasa bint akabak kikamramba
 
Reactions: Lax
Hapo ndipo wazazi tunapokosea

Mabinti na vijana wetu lazima watayarishwe kuwa Wazazi wa baadaye

Sisi tuliozaliwa zamani tulikuwa tunapewa mafunzo kupitia Jando

Siku hizi hakuna kabisa
Kuna mabadiliko yanaendelea kwenye baadhi ya jamii. Ni kama uzazi bora haupimwi tena na namna tulivyokuzwa. Kijana wa kiume inabidi aadupt, ni kama vile familia hazikuzi mabinti zao na kuwapa elimu kwa ajili ya mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…