Huu ubusy wa kazi na usingle parent nayo ni majangaKuna mabadiliko yanaendelea kwenye baadhi ya jamii. Ni kama uzazi bora haupimwi tena na namna tulivyokuzwa. Kijana wa kiume inabidi aadupt, ni kama vile familia hazikuzi mabinti zao na kuwapa elimu kwa ajili ya mwanaume.
wew inatakiwa uolewe ukuryan kule ukapike ugari wa mtama.Kwani si kuna restaurants au mnasemaje wadau
Zungumzia watoto old 70s, 80s, 90s na 2000Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.
Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora
Nadhani parents opt mabinti wawe independent wakikua. Yaani sio accident ni choice.Huu ubusy wa kazi na usingle parent nayo ni majanga
Unatufanya tuzalishe watoto wasioweza kumudu majukumu yao mbeleni
Binti lazima afundishwe mapema vitu kama hizo, LAKINI wazazi tunawalea vibaya watoto wetu. Mimi ni mwanaume LAKINI najua kupika hata kama sio Kwa kiwango kikubwa. Hii ni kwasababu wazazi wangu walinifanya niwe HIVI kupitia malezi yao me
Bora hata chai na mkate.Ukizubaa utaishi kwa kula maandazi ya miamia kwa chilisosi.Kimasihara unaweza Kushindia,Chai na Mkate hivi hivi
Na hili ni bomu ambalo limeanza kulipuka kidogo kidogo, maana athari zake tayari zimeanza kuonekana kwenye JamiiNadhani parents opt mabinti wawe independent wakikua. Yaani sio accident ni choice.
Naona hii salamu ni kwa ajili ya watu wa kwenu tu...ubaguzi huuMgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka. Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!
Shida hapa nini , malezi au uzungu mwingi.
Sifa kubwa ya mwanamke WA kiafrika ni kusimamia nyumba yake. Yaani familia wale washibe Tena chakula kilichopikwa vizuri. Hapo ndugu jamaa na marafiki watakusifia Kwa kuoa mke bora
So far sisi wa zamani tunaona mabinti wanaharibikiwa lakini ukiangalia kwa makini mabinti wanajua exactly wanachokitaka, na inawezekana binti wa leo hataki kuishi ili amhudumie mume nikimaanisha kumfulia, kumpikia na kumtunza, priority ya mabinti wa kisasa ni uchumi, sio utumishi kwa mume.Na hili ni bomu ambalo limeanza kulipuka kidogo kidogo, maana athari zake tayari zimeanza kuonekana kwenye Jamii
Wazazi wanahisi wanawasaidia mabinti zao kumbe wanazidi kuwaharibu.
Sisi tupo kuona, japo huku tukihuzunika
Upo sahihi mimi nilikua na rafki angu , alikuwa na watoto wake wakike wapo chuo kwa sasa nahisi.hao wadada wa ushuani.
Kuna kiongoz mkubwa wa selikali hapa dar, mabint zake wanaweza kaa ndan bila kutoka wiki nzima...
Wanachezea sim/laptop tu.
Siku moja bint mkubwa akatupikia ugari wa dona duu ni aibu hata wali hafaham.
MIM NAONA TATZO NI MALEZI
Ndyo maana vijana wa skuiz wanapinga ndoa.So far sisi wa zamani tunaona mabinti wanaharibikiwa lakini ukiangalia kwa makini mabinti wanajua exactly wanachokitaka, na inawezekana binti wa leo hataki kuishi ili amhudumie mume nikimaanisha kumfulia, kumpikia na kumtunza, priority ya mabinti wa kisasa ni uchumi, sio utumishi kwa mume.
Ndiyo maana mmomonyoko wa maadili umekuwa Mkubwa miongoni mwaoSo far sisi wa zamani tunaona mabinti wanaharibikiwa lakini ukiangalia kwa makini mabinti wanajua exactly wanachokitaka, na inawezekana binti wa leo hataki kuishi ili amhudumie mume nikimaanisha kumfulia, kumpikia na kumtunza, priority ya mabinti wa kisasa ni uchumi, sio utumishi kwa mume.
Shida pia kijana wa leo ni kama hajui anataka nini kwenye ndoa. Kwanini anataka kuoa? Yaani unaoa kwa sababu gani?Ndyo maana vijana wa skuiz wanapinga ndoa.
Misingi ilisha haribika tangu zamani , kwahyo ndoa inakuwa tu kama background effects lakin main core ni uchumi ndiyo wanao utazama.
Sasa kama mwanamke wako hawezi kukupikia je watoto ataweza kulea ?
Upo sahihi .Shida pia kijana wa leo ni kama hajui anataka nini kwenye ndoa. Kwanini anataka kuoa? Yaani unaoa kwa sababu gani?
Ni muda wa kijana kujiuliza haya maswali kabla hajaoa sababu majibu ndo yataamua aina ya mke. Unakuta kijana anataka mke atakayempikia na kumfulia halafu anachumbia binti ana CPA. Hapa anatengeneza usumbufu wa kuua career objective za binti ili kutimiza mahitaji ya mume ya ndoa ishu ambayo lazima ilete shida.
Kizazi cha sasa sahau ,wanaenda kujifunza kupika wakiwa wameolewa ,mtoto school bus ,akirudi anafuliwa na kupikiwa na dada wa kazi ,hajui kuosha vyombo ,kufua wala kufagia ,akishaolewa ndipo anajifunza kupika kwa youtube na akiona hawezi asiaibike atakupush umlete Dada wa kazi fasta.Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie chakula fulani Tena ni chakawaida kabisa. Binti jashi Lina mtoka.
Anahangaika huko anakuja kuja kuleta mezani chakula chaajabu hapo yupo mama baba na dada ZAKO. Aibu ya mwaka!!