Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

Ndiyo maana mmomonyoko wa maadili umekuwa Mkubwa miongoni mwao

Naihurumia taasisi ya ndoa, maana ipo vitani kwa muda sasa πŸ™Œ
Mkuu, ukichunguza kwa makini nadhani suala la fursa sawa huku majukumu yakibaki vile vile lina mchango mkubwa.

Mfano: jamii ina mabinti 6 na vijana 6, wote wanasomeshwa kupigania fursa 6 za kipato. Meaning fursa 6, watu 12.

Katika hao watu 12, ikitokea mabinti 3 wakazipata fursa it means Fursa 6 zimeenda kwa mabinti 3 na vijana 3.

Mtihani unakuja jamii inapotaka vijana wafunge ndoa huku kijana na binti wakibeba tamaduni zile zile kuwa kijana ahudumie familia kikipato, binti atunze mume na watoto.

Sasa:

Mabinti wapo 6.
Wenye elimu wapo 6.
Wenye kipato wapo 3.

Vijana wapo 6.
Wenye elimu wapo 6.
Wenye vipato wapo 3.

Embu tengeneza scenario ambayo kila binti anaingia kwenye ndoa na kuhudumiwa kikipato huku akimuhudumia mume bila shida kama jamii inavyotegemea.
 
Mkuu Soma hoja yangu namba 102 labda inaweza kuwa na muunganiko.
 
Dunia ya Leo bd unatafuta wa kukufulia washing machine ipo,

Vyakula navyo vingi majiko yapo ya kisasa ni wewe tuu ku pima moto na kuepua.....

Km unahitaji wa kukufulia na kupika wapo ila dunia imekwisha chukua sura mpya kitech zaidi
 
Tafuta wa kufanana na wewe badala ya kuja kulalamika. Pia sioni sababu ya kumlaumu yete alitakiwa kulaumiwa mzazi wake wa kike ambaye alishindwa kumfundisha kupika.
Kuna wengine toka kuzaliwa hawaingii jikoni, chakula kinappikwa na dada, shuleni kuna wapishi wameajiliwa ila kama kweli unampenda jaribu kutafuta njia ya kumsaidia kupika.
 
Imagine na kope zako na kucha umeeka gel unapimwa ukweni kupuliza moto pfiuuiuuui pfuuuuuuu

Seran tukiwa ukweni mke wangu sio house manager wa yeyote kwanza tunaingia kishangingi tunaondoka kwa kishindo cha wakoma 😌
 
Mdada wa hivyo mchunguze mlango wa nyuma umelegea sana ...
 
Umetoa a very constructive opinion, muda bado upo. Tunaweza kuziba palipoonesha kuvuja
 
Reactions: Tsh
Masikini katika moja na mbili
Kama huna hela usioe kutaka kupikiwa, kufuliwa nguo na kupelekewa maji bafuni

Kwa kifungua kinywa, ni gharama nafuu zaidi siku hizi kununua, vitumbua, chapati na maandazi kuliko kununua unga, mafuta na mkaa ili mkeo akupikie.

Kwa chakula cha mchana
Samahani ugali chakula cha mifugo, ukitaka nenda kanunue kwa mama ntilie



Kupika, mnunulie hizi kwa rosti nyama, kuku wa kuchoma, samaki wa kuchoma, viazi vya kukaanga, kuoka mkate,




Kupika wali, mnunulie hizi,




Ukitaka kufuliwa, nunua hizi




Umeme ukikatika, maana yake umesevu hela ya luku, kwa hiyo hio hela mkanunue msosi kwa mama lishe au chipsi kuku, na peleka nguo kwa dobi zikafuliwe.
 
Nimekuelewa mkuu.
 
Reactions: Tsh
Tafuta pesa mkuu.
Hizo mambo kwa kiasi kikubwa zinaweza kufanywa na mashine.
 
Kuna mrembo mmoja wa kikurya alikuja geto nikawa nimeshapika wali nikamwambia nikatie kachumbari , nilivyomuona amechukua nyanya anaikata mara mbili tu yaan robo robo ndio tayar nikamwambia lete nikusaidie mama wewe vua nguo ujilaze kitandani.
 
Nje ya mada,
Kwani wao wenyewe wanasemaje kuhusu hiyo ya kazi ya kuhudumia, kumfulia mtu

Ni wakati gani hasa watu wakubali maisha yamebadilika na yanahitaji kidogo adjustments ili pande zote ziende sawa

Wazee wazamani wao walijifanya wajanja kwa kutosomesha mabinti, kimsingi sana ni katika hali ya kumnyima uchumi --- hivi sasa kuna mtu anakubali binti yake asisome?

ILi kumaintain tamaduni yataka udhibiti, je udhibiti unawezekana kwenye karne hii ya haki sawa?
 
Kuna mrembo mmoja wa kikurya alikuja geto nikawa nimeshapika wali nikamwambia nikatie kachumbari , nilivyomuona amechukua nyanya anaikata mara mbili tu yaan robo robo ndio tayar nikamwambia lete nikusaidie mama wewe vua nguo ujilaze kitandani.
Kunywa pepsi hapo aisee 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…