MDAHALO CHADEMA: Matokeo Team Mbowe vs Team Lissu

Timu gani imefanya vizuri kwenye Mdahalo

  • Team Mbowe

  • Team Lissu

Results are only viewable after voting.
HAJAWAHI kutokea mtu maskini na mwenye roho mbaya kama Lissu akajenga taasisi imara kiuchumi. Kama yupo tupeane updates.
Mkuu Taasisi ni watu na watu lazima awepo mtu mwenye vision wa kuwaongoza ili kuifanya Taasisi iwe imara na Taasisi sio mtu mmoja
 
Hii ndio Demokrasia ambayo inatakiwa kuigwa na vyama vingine kuwe na midahalo ya wazi kuweza kujua uwezo wa wagombea wetu
Hawa Chadema ni kama ndio wanazidi kujichimbia kaburi,tumeshawajua undani wao..hakuna cha upinzani nchi hii..
 
Team Mbowe ni vilaza weupe kichwani, hawaelezi sera za mgombea wao
Mgombea wa uongozi wa chama cha siasa anatoa wapi sera zake? Ni hatari kuwa na mgombea mwenye sera zake wakati chama kina sera zilizokubaliwa na wanachama Kwa ujumla
 
Lissu hana wapiga kura(ana keyboard warriors etc)
Mbowe anao wapiga kura🤔
Concl
Siasa ni ngumu sana😂😂😂
Your browser is not able to display this video.
 
Co
Quoted : "Timu Lisu wanasilaha butu lakini wana wapambanaji wenye ari"
 
Kwa upande wangu nimeona kuwa kuwa Yeriko na Ntobi wanaelewa kabisa ukweli kuhusu kwa sasa Chama kinapaswa kuongozwa na mtu mwingine atakayeleta mabadiliko ya Kimfumo ndani ya chama.
 
Kwa upande wangu nimeona kuwa kuwa Yeriko na Ntobi wanaelewa kabisa ukweli kuhusu kwa sasa Chama kinapaswa kuongozwa na mtu mwingine atakayeleta mabadiliko ya Kimfumo ndani ya chama.
 
Wenye akili wachache ndio wameibeba CDM lakini huenda kuna vilaza wengi Sana. Ntobi amewezaje Kuwa mwenyekiti wa Chama mkoa tena mara mbili?.
Ndio mjue uchaguzi wa kiongozi wa siasa haufanyiki kwenye keyboard au online polls
 
Mkuu tumia akili kuliko hisia ….hz sio zama za wakoloni na kudai uhuru.!
Nasemaje ikija hoja kwamba upinzani Bado haujakomaa hivyo hatuwezi kuwakabidhi Nchi nikwamba hoja hizo pia Wakoloni walisema kwamba Waafrika hawajakomaa kukabidhiwa Nchi
 
Nasemaje ikija hoja kwamba upinzani Bado haujakomaa hivyo hatuwezi kuwakabidhi Nchi nikwamba hoja hizo pia Wakoloni walisema kwamba Waafrika hawajakomaa kukabidhiwa Nchi
Hawa sio kwamba hawajakomaa bali ni wafanyabiashara kwenye siasa….we unahis hawa wanaweza ingia mikataba yenye usawa kati ya nchi na nchi au nchi na mashirika makubwa ya biashara….ni rahis mno hawa kuhongwa na mambo kua mabaya zaidi ya hawa Ccm!! Watu ambao Ccm inawanunua kila sku ndo uwape nchi?? Seriously?
 
Kabisa kama Nchi tukiwa na mentality ya aina hii hatutakuja kufanya mabadiliko ya Kiuongozi kabisa
Nasemaje ikija hoja kwamba upinzani Bado haujakomaa hivyo hatuwezi kuwakabidhi Nchi nikwamba hoja hizo pia Wakoloni walisema kwamba Waafrika hawajakomaa kukabidhiwa Nchi
 
😃😃😃
Team FAM walikuwa wamekula konyagi za kutosha. Aisee wamezidi kumuharibia na Wajumbe Wapiga Kura wanazidi kujionea wapi pa kupeleka kura zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…