Pre GE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mdahalo bila Mbowe haunogi.
 

Atokee vipi domo zege?

 
Kama wewe tu unaleta ubishi ili kubishana🤣🤣🤣
 
Lile swali lilikuwa scandalous, kama Marekani Miguna angepata scandal ya unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake 😂😂😂.
Kuna interview moja kwenye Nairobi gubenartorial position walikuwa wagombea kama 16 ulipotangazwa mdahalo wagombea 14 waliingia mitini akaibuka Esther Passaris pekeyake yani hadi incumbent governor aliingia mitini!

Passaris alipoona amezidiwa na Miguna hoja akaanza ad hominem kumbe Miguna naye akamhamishia huko huko ili waende sawa maana mwanzo alimwambia wajadili issues yeye kahamia ad hominem.

Baada ya interview ile mashirikia ya kutetea haki za wanawake yaliingia kati hadi kile kipindi cha Jeff Koinange Live KTN kilifutwa baada ya huu mdahalo wa Miguna Miguna na Esther Passaris


View: https://youtu.be/i2ugfpT8n-g?si=aE4_icQAU2JrQnuQ
 
Unaona sasa?

Sijakiona kipindi chote wala kujua hiyo habari yote uliyoisema lakini nilishajua kuwa kimataifa kipindi kama hiki kimataifa ni scandal ya udhalilishaji.
 
Unaona sasa?

Sijakiona kipindi chote wala kujua hiyo habari yote uliyoisema lakini nilishajua kuwa kimataifa kipindi kama hiki kimataifa ni scandal ya udhalilishaji.
Yeah hii issue ilifanya show ya Jeff Koinange live KTN ikafutwa it was one of my favorite TV Shows .
 
Wewe nawe kaaba kimya hata hujui mdahalo ni nini,fiche ujinga wako.
 
Odero Odero yuko vizuri sana, leo kamwaga sera zake kwenye kipindi cha kumepambazuka cha radio one
Tatizo la mbowe hana hoja wala agenda ya kwa nini anagombea uenyekiti huku akiwa ametumikia cheo hicho miaka 21.
Amesha adopt tabia za kiccm kukimbia midaharo. Kweli mbowe kalamba asali na sasa wanamwendesha kwa remote
 
Yule bibi wa Clouds ametia aibu sana, yaan clouds wangeomba radhi Kwa ujinga na unethical yule dada alizoonyesha
 
Kushindana na TAL ni kushindana na mipango ya Mungu ajifunze kwa Mussa pamoja na yote aliyofanya Mungu alimuambia hatafika nchi ya ahadi na Haruna akapewa kijiti kumalizia mission kulazimisha kuna madhala Mungu hajampa kibali tunamshukuru hadi hapo alipofika kulazimisha fedheha haitaepukika kwake
 
Mbowe kukimbia mdahalo si kitu kizuri. Anatakiwa akaonekane jinsi anavyojenga hoja kulinganishwa na wenzake hao. Lini aliwahi kufanya mdahalo, mbona sasa hivi kuelekea uchaguzi amekazana kufanya press kila mara karibia media zote kaongea huko, anachoogoga mdahalo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…