Usitaje bure jina la MunguKushindana na TAL ni kushindana na mipango ya Mungu ajifunze kwa Mussa pamoja na yote aliyofanya Mungu alimuambia hatafika nchi ya ahadi na Haruna akapewa kijiti kumalizia mission kulazimisha kuna madhala Mungu hajampa kibali tunamshukuru hadi hapo alipofika kulazimisha fedheha haitaepukika kwake
Mwenyekiti sio saizi ya makamu mwenyekitiMwamba kaona bora lawama kuliko fedhaha.
Tena mbaya sana fedheha uletewe na mtu uliyemlea mwenyewe
You're too Naive.Mwenyekiti sio saizi ya makamu mwenyekiti
Mbowe angeenda ingekuwa kujidhalilisha
Cheo cha juu kwenda mdahalo na cheo chini sio sahihi
Tundu Lisu mtu wa saizi yake kwenye mdahalo ni makamu mwenyekiti wa Chadema Zanzibar sio mwenyekiti Mbowe
Lissu is underutilized precious resource of this country.Lissu na Miguna wana uwezo wa asili halafu wamejiongeza kwa kusoma sheria halafu wanafanya mazoezi ya ubishi wa kifalsafa kila siku.
Lissu kabla ya kufanya ubishi kwanza anakuletea ubishi kuhusu mazingira ya kubishana huo ubishi 😂😂😂.
Exactly 💯Lissu is underutilized precious resource of this country.
Yaani dah ..😂😂Anajua spana za TAL hata himili
...umeongea na wajumbe...Usitaje bure jina la Mungu
Lisu anaenda kushindwa uchaguzi
Kwanza ataanza kuleta huruma hapo hapo lisssu analipua kwa factsYaani dah ..😂😂
Vipi sultani atakuwepo kwenye mdaharo tusikie hoja zake?Usitaje bure jina la Mungu
Lisu anaenda kushindwa uchaguzi
Hahahaaa hoja hana. Toka achukue fomu hajatwambia atafanya nini tukimpa hii miaka 5.Mwenyekiti sio saizi ya makamu mwenyekiti
Mbowe angeenda ingekuwa kujidhalilisha
Cheo cha juu kwenda mdahalo na cheo chini sio sahihi
Tundu Lisu mtu wa saizi yake kwenye mdahalo ni makamu mwenyekiti wa Chadema Zanzibar sio mwenyekiti Mbowe
Usimpangie mikakati yake ya ushindi nyie hangaikeni na Lisu wenu achaneni na Mbowe watakutana sanduku la kuraKwa Mbowe kutokuhudhuria mdahalo huu utampunguzia sana kura. Inaonekana ana woga fulani.
Madhambi mengiNilishawahi kusema hapa kwamba nitashangaa sana kama Mbowe atashiriki huu mdahalo.
Na nikisema akishiriki nitamuina hajitambui kuliko nilivyofikiri.
Naona kajua atagalagazwa na Lissu vibaya sana.