Pre GE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

Pre GE2025 MDAHALO: Freeman Mbowe amekacha, Tundu Lissu na Odero Charles Odero kushiriki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kushindana na TAL ni kushindana na mipango ya Mungu ajifunze kwa Mussa pamoja na yote aliyofanya Mungu alimuambia hatafika nchi ya ahadi na Haruna akapewa kijiti kumalizia mission kulazimisha kuna madhala Mungu hajampa kibali tunamshukuru hadi hapo alipofika kulazimisha fedheha haitaepukika kwake
Usitaje bure jina la Mungu
Lisu anaenda kushindwa uchaguzi
 
Nimekumbuka DIWANI YA WASAKATONGE ya Muhammed seif khatibu.

Kuna sehemu ameweka ushair wa UONGOZI MBAYA
Akasema viongozi walio wengi ni madikteta ambao hawataki kuachia madaraka.

Likewise, ndicho kinacho mtokea mbowe muda huu alitakiwa akae pembeni nyakati zake zimepita
 
Mwamba kaona bora lawama kuliko fedhaha.
Tena mbaya sana fedheha uletewe na mtu uliyemlea mwenyewe
Mwenyekiti sio saizi ya makamu mwenyekiti
Mbowe angeenda ingekuwa kujidhalilisha
Cheo cha juu kwenda mdahalo na cheo chini sio sahihi

Tundu Lisu mtu wa saizi yake kwenye mdahalo ni makamu mwenyekiti wa Chadema Zanzibar sio mwenyekiti Mbowe
 
You're too Naive.
 
Hahahaaa hoja hana. Toka achukue fomu hajatwambia atafanya nini tukimpa hii miaka 5.
 
Kakimbilia wapi huyu mtu? Atafutwe popote alipo akamatwe apelekwe kwa nguvu. Bora akagome kuongea huko aache kuchezea akili za watu.
 
Kwa Mbowe kutokuhudhuria mdahalo huu utampunguzia sana kura. Inaonekana ana woga fulani.
Usimpangie mikakati yake ya ushindi nyie hangaikeni na Lisu wenu achaneni na Mbowe watakutana sanduku la kura

Lisu apambane kwenye huo mdahalo ns huyo odero na akakamae odero aweza kumzidi Lisu

Lisu asidhani anaenda kutana na dogo ambaye kichwani mweupe ajipange hasa

Mwendesha kipindi pia awape nafasi Lisu na Odero watwangane maswali. Mafupi yasiyozidi dakika 2 wao kwa wao majibu yasizid dakika tatu
 
Odero mmalize huyo mbelgiji ili tarehe 22 arudi kwao.
 
Mbowe yupo Dodoma, wana vikao kuamzia tarehe 18 na 19 Jan. 2025.
20250111_130051.jpg
 
Mbowe kaogopa kujibu swali la BUNGE LAIZER ni nani, ambaye ndiye mwenye jina lililosajili namba feki ya join the chain
 
Nilishawahi kusema hapa kwamba nitashangaa sana kama Mbowe atashiriki huu mdahalo.

Na nikisema akishiriki nitamuina hajitambui kuliko nilivyofikiri.

Naona kajua atagalagazwa na Lissu vibaya sana.
Madhambi mengi
 
Back
Top Bottom