Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
WanaJF baada ya mdahalo wa UDASA ( CCM) namualika kwenu ndungu
1. Kitila Mkumbo kutoa ufafanuzi kilichotokea maana jana alibisha kuwa huu mdahalo umeadaliwa na CCM
NAkala kwa Yericko Nyerere
Asema dhambi ya
ccm ni kuweka msimamo wa kichama kama ulivyotolewa na jk wakati
akifungua bunge
Yani we ni jitu jinga sana, kwani mtu akitofautiana na UKAWA ndio anakiwa interahamwe!?
mungu ibariki tanzania.
Kampa Lukuvi, ndio UDASA kielelezo cha wasomi Tanzania, mdahalo bila maswali! Anasema Mzee Warioba kaleta hoja mpya, sijui kaileta leo saa 12?!
ndo maandalizi waloyafanya kuhujum uhalisia wa mdahalo. Eti anatoa atimatam ya wao kwendafanya maamuzi he huyu najiona yupo juu ya watanzania wote eti?
ulevi wa madaraka namna hiii ni zaidi ya udikiteta na madikiteta wote hushia pabaya sana.
CCM imetia aibu kwa lipi? Kilichofanyika leo kimetoa mwanga kwa kila mtu. CCM imeuanzisha mchakato wa katiba na itaumaliza salama salminiumejibu kwa unyonge mno.
Bado unaamini ccm haijatia aibu kwenye hili??
Hivi muda si ulikwisha kiasi cha Lissu kakatishwa kuongea? Sasa imekuwaje Lukuvi kaongea bila kikomo?
hakuna mzalendo anaweza kuunga mkono ukawa.
Asema dhambi ya ccm ni kuweka msimamo wa kichama kama ulivyotolewa na jk wakati akifungua bunge
CCM imetia aibu kwa lipi? Kilichofanyika leo kimetoa mwanga kwa kila mtu. CCM imeuanzisha mchakato wa katiba na itaumaliza salama salmini
mh. lukuvi amedai kuwa mzee warioba amepeleka mapendekezo mapya mengine juu ya katiba Mpya
Hivi Lukuvi anaongea nini? mnamuelewa?