Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Na yeye alishatawaliwa vilevile.
1. Kutawaliwa ni ishara kuwa wewe ni dhaifu. Walikuja wangapi wakawatawala ninyi mlikuwa wangapi? Mtu anakutawala ukiwaNani alitutawala na kuua mababu zetu? Nani anaiba mali zetu tukipata kiongozi shupavu wanamuua
ukinijibu hayo unambie uzuri wao uko wapi
Sahihi kabisa. Wenye shida ni wabantu.Mjinga ni yule aliyeingizwa kwenye mfumo naye akaingia mkenge na kuanza kumtumikia Bwana wake na kuwasaliti ndugu zake
Wazungu walikuwa smart since, Majinga ni Mabantu
If race is a social contruct then whatever the ills ascribed to race are social issues.A social construct, yet the physical differences are real. Considering that's not the sole factor involved in human differentiation.
Outside of the grand scheme of things. Race is real.
Huko Amerika ya kusini Blacks ndio wengi na ndio kuna magenge ya kihalifu balaa. Nchi za Venezuela na Colombia ni mifano hai.Hakuna jamii isiyo kuwa na watu choka mbaya hapa duniani lakini tunacho angalia ni uwiano.
Hata hao wazungu unao wasifia kuwa wana maisha mazuri ni wazungu kutoka baadhi ya mataifa machache lakini mataifa mengine mengi ya kizungu hasa ya Ulaya mashariki na America ya kusini ni choka mbaya.
Kwanza tusiende mbali tuanzie ndani ya nchi yako ambayo asilimia 99.9 ni watu weusi lakini %85ya uchumi wa Tz inamilikiwa na waarabu na wahindi ambao ni sawa na 01% ya watz bado utaendelea kujilinganisha nao.
Hivi ulielewa nilicho andika?Ebu nenda Morocco hapo alafu tembelea majiji kama Malaccesh, Rabat, Casablanca alafu urudi hapa Tz ulinganishe na hizi takataka zetu tunazo ziita majiji.
Mtu anaye weza kuwalinganisha waarabu na waafrica edha ni chuki dhidi ya waarabu au ni hajawahi kutembea.
sasa kwa nn mkubali kuchonganishwa kama mna timamu kichwani? mweusi ni mweusi tu, kwa nn sisi hatuwachonganishi hawo wazunzu, waafrika na waarabu akili kisodamatatizo na migogoro mingi kwa aslimia kubwa ya africa yanatokana na watu weupe eg. DRC, Libya nk.
Kwenye famila mtu tajiri akisema wewe ni mwizi hiyo imepitishwa hakuna wakupinga (nchi maskini vs tajiri)
What the hell are you talking about?
Nationality? Nani amekwambia U-Afrika ni Nationality? Afrika ni bara na wanaokaa kwenye hilo bara wanaitwa Africans. Kama ilivyo Asia na Asians.
Black sio race, ni rangi. Rangi ya wamarekani. Sababu Marekani kuna jamii mbili tofauti, moja yao haina kwao wala itambulisho rasmi, hivyo njia bora ya wao kujitofautisha ni kujiita Black na White people.
Wewe una utambulisho wako, una bara lako, Nchi yako, kabila lako na jina lako. Usijifananishe na Black Americans wasio na kwao.
Wewe sio Black, wewe ni Muafrika. Na mimi sio Black, ni Muafrika mwenye rangi ya pale brown, sio black.
Huwa nawaambia watu humu ni nafuu mara 100 waafrika wasiokuwa wabantu...kama Wasomali, Wamasai, Waethiopia na Waarabu coz wana umoja na kupendana...tatizo WabantuSahihi kabisa. Wenye shida ni wabantu.
Hapana, kumgeuza Mwanadamu mwenzio kwa maslahi yako, ndugu zako, Taifa lako na kizazi chako (generations to generations) sio Ujinga...ni Ujanja na kuona mbeleSijakuuliza nani mjinga, kama ni ujinga basi wote ni wajinga. Sababu kumgeuza binadamu mwingine mtumwa sio kitendo cha akili, bali ni kitendo cha kikatili kilichosababishwa na ujinga.
Hapo nimekuuliza nani mwenye makosa. Nani mwenye makosa hapo?
Napingana na maono ya mdau kwa upande wa muafrica asilimia kubwa kiasili waafrica hawana nongwa...
Baada ya kuuliwa hao Red Indians kwani waliisha wote kabisa wakafutika kabisa duniani?Kutawaliwa na nani?
Aisee! Hivi unafahamu kwamba Ardhi ya Marekani yote ilikuwa inamilikiwa na Red Indians au Native Americans? Alafu Europeans ambao ndio wazungu, wakaja kuwatoa kwa nguvu na kuua karibu nusu na robo ya Native Americans?
Unafahamu hilo? Kama hukufahamu hilo, una uhakika gani chochote unachokiandika kina mantiki yoyote?
Mzungu anapigana vita kwa maslahi yake, hasa kiuchumiWazungu wakipigana vita.... Geniuses.
Mwarabu......Udini.
Mweusi.... Hana akili.
Walio wengi ushamba wa kimagharibi kwao wanaona ni ujanja.
Yaelekea una tatizo la Ubongo, kwanza wewe ni MWONGO MKUBWA
Black sio race alliyekudanganya nani?
Nani amekuambia America kuna races mbili pekee?
Acha uduanzi, Blacks and whites is among other races zilizopo America though superior ni White ndio maana kuna White Supremacy kwsbb wanadominate other races ambao ni Blacks ,latins, Red Indians n.k
Uafrika unatokana na Location, Hata Mo Dewji, Bakhressa ni Watanzania kwasababu ya Location ila sio weusi kwamaana ya Race, wale ni Asians kiasili ila kieneo ni Watanzania
Huko shuleni ulienda kuomea Ujinga?
Nenda Congo, Tigray huko Ethiopia, Cabo Delgado Msumbiji, Sudan, Gabon, Afrika ya kati, Burkina Faso uone jinsi waafrika wanavyo chinjana na kuuana kama kuku.Napingana na maono ya mdau kwa upande wa muafrica asilimia kubwa kiasili waafrica hawana nongwa...
Kwa upande wa waarabu naunga mkono hoja waarabu ni pasua kichwa hapa duniani bahati mbaya wakakutana na wakufunzi waliotoa mafundisho mabaya kupitia imani/dini na baadhi ya mafundisho yakawafikia baadhi ya nchi za kiafrika nao wakala sumu.(brain wash).
Acha uongo % 80 ya watu wa America ya kusini ni wazungu , %10waafrca na 10 iliyo baki ni waratino na jamii zinginezo lakini bado nchi nyingi za American ya kusini ni masikini wa kutupwa.Huko Amerika ya kusini Blacks ndio wengi na ndio kuna magenge ya kihalifu balaa. Nchi za Venezuela na Colombia ni mifano hai.
Na ndio kila mara wanahangaika kuingia Amerika ya kaskazini USA na Canada na wanadhibitiwa sana.
Wazungu wenye shida sio wengi sana kulinganisha na watu weusi wenye shida.
Watu weusi ndio wenye shida sana.
Hivi ulielewa nilicho andika?
Mimi sijalinganisha waafrika na waarabu.
Mimi naongelea wazungu kwa kuwalinganisha na watu weusi waafrika na waarabu.
Bado hujajibu swali.Hapana, kumgeuza Mwanadamu mwenzio kwa maslahi yako, ndugu zako, Taifa lako na kizazi chako (generations to generations) sio Ujinga...ni Ujanja na kuona mbele
"Survival for the Fittest" imetake place
Mjinga ni hawa waliokutwa kwao, wakiwa ni wengi,kwenye ardhi yenye chakula na rasilimali zingine nyingi halafu wanafanywa watumwa na watu wachache wenye mbinu na akili kuwazidi wao
Usipingane na Ukweli na Uhalisia
Ngoja nikuache ubaki na Upumbavu wako, hiyo color unayosema ndiyo inayotengeneza RaceWewe jamaa eidha una akili fupi kupitiliza au ni some advanced troll. Hivi umesoma kweli nilichokiandika acha alone kuelewa?
Kama rangi ya mtu ndio ingekuwa sole factor ya ku-determine race ya mtu, basi ukiongelea Blacks utakuwa unaongelea na wahindi ambao ni Asians wenye rangi nyeusi kuliko Waafrika. Au wewe unadhani kwanini Asians hawajiiti yellow people? Hilo ni tusi kwao. Sababu kumuita mtu kwa rangi yake ni kum-dehumanize sababu unautia ubinadamu wake wote kwenye shade ndogo ya rangi. Race inakuwa determined na bara ulilozaliwa na watu waliokuzunguka, culture na aina ya maisha.
Black sio race, ni identity ya Black Americans waliokuwa watumwa. Hata wewe ukienda Marekani leo, wakisikia tu accent yako, hawatokuita Black. Watakuita muafrika. Hivi unafahamu Waafrika wanaheshimiwa na kuaminiwa zaidi Marekani hasa maeneo ya kazi kuliko Black Americans wenye sifa mbaya? Unafahamu kwamba Black Americans hawatupendi Waafrica sababu wanadhani tunawadharau na kutuona tupo juu zaidi yao?
Unafahamu kwamba Waafrika wanajiepusha na Black Americans at all costs?
Wale wanaweza kufanana nao kwa rangi, lakini sio wenzako. Ukienda Marekani leo watakukataa sababu hawakujui.
Do you know that, or are you living under a giant rock? Ngoja niweke Youtube video hapa uone huyu mshenzi Black American anavyotutukana Waafrika na usome na hizo comments za hao Blacks unaowapenda sana.
Wewe una Ujinga, kabla ya kukimbilia huko nataka kwanza uelewa nini maana ya Race au Racial groupBado hujajibu swali.
Nani mwenye makosa?
Ndio ni wazungu kutokana na location waliopo.Acha uongo % 80 ya watu wa America ya kusini ni wazungu , %10waafrca na 10 iliyo baki ni waratino na jamii zinginezo lakini bado nchi nyingi za American ya kusini ni masikini wa kutupwa.