Labda aje na ulinzi wa CIA la sivyo mtamumalizia Raisi ajaye TLHii imekaa vibaya kwa upande wa mh.lissu
Nashauri angerudi tu ili kutii sheria za Nchi yetu mama Tanzania
Hakimu Simba kaagiza Tundu iwe iwavyo tarehe 19 Disemba afike Mahakamani bila kukosa.
Kwa mantiki hiyo na mimi nauliza je Tundu asipofika siku hiyo ni rasmi atahukimiwa kifungo?
Atakuwa Ni mpush huyu ndo wanakiswahili cha jinsi hiyo.Wakumbukege ni lugha gani hiyo? Tuanze na hilo kwanza..
Mdhamini atakua matataniHakimu Simba kaagiza Tundu iwe iwavyo tarehe 19 Disemba afike Mahakamani bila kukosa.
Kwa mantiki hiyo na mimi nauliza je Tundu asipofika siku hiyo ni rasmi atahukimiwa kifungo?
Mimi nikimsikiaga mtu hadi mwaka huu 2019 bado anaongea habari za mabeberu huwa namwona fala sana;hao mabeberu wana shida na tanzania tu?kama wana shida kwa wote,mbona wengine wameendelea wanachapa kazi kama wanaume na sio kulalamikia shory za mabeberu?Achana naye huyo!Huo msemo wa mabeberu ni propaganda za kizee,na ww utakuwa mzee lazima. Ni hivi Tundu Lisu asirejee nyumbani kwa sasa maana waliogiza yeye kupigwa risasi ndio hao wanaoagiza uchaguzi uvurugwe.
Lissu jikalie tu ulaya achana na siasa uchara za kununuana za wapumbavu wanaofikiria watanzania wote ni mafala kama wao kuna siku utarudi waache wapumbavu wafanye wanayoyafanya maana ukija watasema unawakwamisha tulia kula bata achana na upumbavu.
Usiwe unamlinganisha mkuu na vitu vidogo vidogo tafadhaliHovyo, amani unaijua wewe mbona yeye mkuu anatembea na walinzi kila uchao kila sehemu?
Raisi ajaye TL
Mungu wako akusamehe, amelaaniwa yeye anayemuombea binadamu mwenzake kifo.Anaogopa nini. mbona nyie makamanda mnamuogopa jiwee..
Ila mi sinashida hata angekufa nisingeumia kwani hajawahi kutetea watu wanaonewa mfano Shekhe ponda alipopigwa risasi mbona alikuwa kimyaa? Af leo et nisikitike walaa akitaka ahamie hukoo. Wanasiasa wote wapigwe risasi tuu wafe nasisi watuue tufe
Angekuwa ni ndugu au jamaa yako alipatwa na haya usingesema hayo!Kama alikua anaamini anachokiongea anaogopea nini kurudi? arudi tu apambane Mahakama si zipo
ifike wakati hawa wana siasa wakumbukege kuna "kesho"
Kichwa kimekujaa ukoko haswaaaa! haya maneno hutamkwa na wajinga peke yao!Anaogopa nini. mbona nyie makamanda mnamuogopa jiwee..
Ila mi sinashida hata angekufa nisingeumia kwani hajawahi kutetea watu wanaonewa mfano Shekhe ponda alipopigwa risasi mbona alikuwa kimyaa? Af leo et nisikitike walaa akitaka ahamie hukoo. Wanasiasa wote wapigwe risasi tuu wafe nasisi watuue tufe
Huyo Jaji ni m.pumbavu na hana hekima ya mfalme Suleiman.Kuna kesi moja nchini Uingereza ndugu wa marehemu walishtaki kupinga mbwa wa marehemu kuachiwa urithi qa mali nyingi na marehemu ndigu yao
Jaji alimpa ushindi na haki mbwa arithi mali zote. Katika maelezo ya hukumu yake Jaji alisema;
"Katika siku ambayo sheria imetufanya sisi binadamu wapumbavu basi ni leo, lakini mikono yangu imefungwa na siwezi kuamua kinyume ya hivi"
Law is blind mkuu