Mdogo wangu ameoa ilihali hana kazi anakaa kwa wazazi wetu

Mbona kulikuwa na muda WA kumshauri KABLA ya kufikia hiyo hatua ya kuoa yaani Hadi anataka kuoa mnamwangalia tu mimi NAHISI labda ni story tu ila mdogo wako Hana mbele Wala NYUMA unashindwaje kumshauri alafu wewe ni kaka yake LAZIMA akuskilize .
Aliokota tu wakaletana kitandani yani walitufanyia uhuni wa kipumbavu
 
Mtafutie job dogo
 
Sifa zimemwacha?🙄 Kakifika miaka 33 kamechoka na mikiki ya Ndoa kanakuja kuhamasisha wengine wasioe....Eti nawashauri msioe jaman Ndoa ni jehanamu😜

Hizo ndoa za mapema. Zinajenga bond sana kwa wanandoa kuliko ndoa za utu uzima.. wanandoa hao wakiishi miaka mitano tu ya ndoa bila kuachana. Ujue wanazeeka pamoja.. tofauti na ndoa za 30s zina ma ex kibao.. wote mnakutana mmekomaa hakuna bond yoyote
 
Grow up ,sasa unatuambia Sisi unaruhusu nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…