Mdogo wangu anataka Kuoa Mnyakyusa atawaweza hawa watu?

Asiruhusu tu huyo dem ampande kichwani au ajue anapendwa sana, kujicontrol kwenye hali kama hizo hao watu huwa hawawezi, utadharauliwa waziwazi na wengi wao wanajiamini sana.
 
1000% fact!
 
Gaddem shit stay away from those women

Mwaka 2021 nawaaga masela jf naenda kozi mbeya nikavae gwanda . Namaliza fresh napangiwa kulekule niliuokutana nayo kwa yule binti wa kinyaki

Bora uncle muddy aliniagua ningesahau Manzese


Anyway asiye sikia la mguu uvunjika guu na lisemwalo lipo kama halipo laja


Ni wachawi wanapenda roga wanaume na wana roho mbaya
 
Ukipata alieshika dini kaishika kwel kwl ila kama ni mchawi hua anao pia ule wenyewe...ni kuomba tu ubahatike kumpata wa hivo
 
Ukipata alieshika dini kaishika kwel kwl ila kama ni mchawi hua anao pia ule wenyewe...ni kuomba tu ubahatike kumpata wa hivo
Kuomba , uchawi hizo ni imani tu na sio uhalisia wa mambo, naona tusijikite huko 🤔
 
Wa kwangu ni Mmasai.

Wamasai wengi ni wakweli, waaminifu,hawapendi dhuluma nk.

Mwambie aangalie angalie kwenye kabila lake.
 
Wakuu sisi ni wamasai.

Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.

Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.

Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??

Tumshauri.
kwaiyo watu wa kabila fulani huwa wana share kila kitu? yaani tabia ,uchumi,dini,na elimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…