Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Asiruhusu tu huyo dem ampande kichwani au ajue anapendwa sana, kujicontrol kwenye hali kama hizo hao watu huwa hawawezi, utadharauliwa waziwazi na wengi wao wanajiamini sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1000% fact!Wanyakyusa wanaongea mno, angalia humu jf wanawake wa kinyaki wana midomo sana
Sema watafutaji, mwanamke wa Kinyaki hauwezi kumwendesha eti kwa sababu wewe ndio unaleta riziki nyumbani
Ndio maana hata mkiachana kila mmoja anashika njia yake, wako wanajiamini sana kwenye utafutaji
Ila wanawapanda sana waume zao daah! Anakuwa kama mtawala kwenye nyumba
Hajui anacho kinena.Kwa hiyo unakana?
Safwa ni chafu hiyo jamii, kulala bila kuoga yenyewe fresh tu.Toa wabena hapo...walogi Acha kabisaa...nina case mbili Jamaa walioa wabena wote wametangulia mbele za haki....miongoni ni uncle angu
Sawa gudada gwake na Mwaisa mtu mbad.Hajui anacho kinena.
Hahahahah, hapana tumuombee maisha yenye afya na baraka teleKwamba ikiwezekana hicho kikombe kimuepuke siyo?🤣🤣🤣
Ukweli ni upi? Niko Mbeya hapa. Wanaitwa "Wasokile" kwa jina la utani. Je unafahamu kwa nini wanaitwa hivyo?Sasa huu ni uongo 💯
Uoe sasa kati ya hao.Kwa Tanzania kabila lililo bakiza wife material ni wasukuma na wabena tu
Hahaha bado kidogo tuUoe sasa kati ya hao.
😳!?kinena
Hao naskia wanauzid uchafu wenyeweSafwa ni chafu hiyo jamii, kulala bila kuoga yenyewe fresh tu.
Ukipata alieshika dini kaishika kwel kwl ila kama ni mchawi hua anao pia ule wenyewe...ni kuomba tu ubahatike kumpata wa hivoUkipigwa na kitu kizito na mmoja sio kwamba ni wote wapo hivyo mkuu, ila wabena wengi wao ni wanawake bora wanaweza kuvumilia mikiki ya ndoa na niwachapa kazi na unaweza kuanza nao maisha katika hali yoyote ya kiuchumi bila kebehi ,dharau na masimango na ukatoboa bila stress.
Kuomba , uchawi hizo ni imani tu na sio uhalisia wa mambo, naona tusijikite huko 🤔Ukipata alieshika dini kaishika kwel kwl ila kama ni mchawi hua anao pia ule wenyewe...ni kuomba tu ubahatike kumpata wa hivo
Usiache kunialika.Hahaha bado kidogo tu
Ngoja nisake kwanza usikute na wewe ni msakwaji😅😅😅Usiache kunialika.
kwaiyo watu wa kabila fulani huwa wana share kila kitu? yaani tabia ,uchumi,dini,na elimu?Wakuu sisi ni wamasai.
Ila mdogo wangu anataka kuoa binti wa kinyakyusa.
Dogo kachagua, ila tabia za wanawake wa kinyakyusa kwa utafiti wangu ila bado sijathibitisha ni wakorofi sana.
Mnaona huyu dogo anaweza fan ikiwa kwa huyu binti??
Tumshauri.