Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

Kama wewe ni mtu wa maombezi, Mpelekeni kwenye maombi na atabadilika.
Mtafutie pia maji ya upako na Mafuta yatamsadia.
Hiyo ni Roho chafu imemtawala
 
Ngoja afaidi ujana kwanza ili miaka ya mbele asije kurudia stage
 
Anatembea kwa miguu hana gari au kanunua gari kubwa mafuta hawezi kuinunulia?
Hiyo mil 3 umeona kwenye barua au mkataba wake unajua net salary ni shi ngapi baada ya makato?
 
Kusema ukweli anahitaji msaada! Licha ya kwamba ana uhuru wa kuoa au kutooa, lakini kujenga nyumba nako ni muhimu.

Nadhani ungelipeleka swala hili kwa wazee wenu, wanaweza kulimaliza vizuri.

Au ukiweza, unaweza hata kushirikisha mabosi wake wa kazini kuona wanaweza kumsaidiaje.
Lakini swali, ana umri gani?
 
Kuna wana wanakunja 2.5 kama take home washajenga na ni miaka 3 bila ya mkopo wala nn wana Vigari izi vidogo
Huyo karogwa wana wanakula pamba na wanajenga tena wanabalace wanapendeza vizuri perfume za bei mbaya visuti kawaida tu huyo kapigwa pesa kama ana mademu kibao na hayo ndo malipo ya uzinzi kama hajaoa mshaurini aoe then amrudie Mungu

Leo anapata mshahara kesho alituzwa kazi kwa salary iyo miaka 4 kama ana malengo nyuma angekuwa mbali sana
 
Tunatumia vitu vingi kwa mazoea kwa vile vimo katika milki yetu, yalaiti tusingekuwa navyo pengine tusingelivihitaji asilani.
 
Huyo akizeeka atakuja kuwa mzigo kwenu
 
Kwa mwamposa huyo kunawahusu,cases zipo nyingi sana huko kama hizo naonaga,na zinaisha,............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…