Kenge wewe ndo maana huna helaAache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Hivi umemwelewa??Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Acha uzwazwa. KATIBA inakiukwa sana. Elewa mada.Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.
Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.
Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?
Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Wewe ni kenge kabisa fuga hata paka uuze ngoziNatoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.
Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.
Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?
Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Jamaa katoa hoja wewe unakuja kutukana, nyie ndio wale mnao shikiwa akili na zaidi ya hapo akili ulio nayo ni ya kukuwezesha ku lig in facebookHili jamaa ni lijinga sana
Kwa vigezo vp siyo watanganyika. Hao wote ni watanganyika wao wenyewe wamezaliwa Tanganyika. Na kama hao wakurugenzi wa ZRB, PBZ na ZBS hata Zanzibar hawajawi kiishi. Hao wengi wao znz kwa kipindi kurudi ijapokuwa wamezaliwa Tanganyika. Zena wazee wake wana asili ya znz lakini yeye kazaliwa nakusoma Tanganyika amekuja znz kwa kikazi tu. Huyo mdude wenu ni mpuuzi tu na nyinyi misuke wakeUngekataa kwanza hao waliotajwa hapo juu sio watanganyika ili tuende sawa na hoja ya msingu ya mh. Mdude.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo lazima ni MzanzibarNatoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.
Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.
Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?
Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Nyingi wapuuzi. Zena kazaliwa Tanganyika lakini wazee wake ni wapemba siyo.mtanganyika ni mpemba. Kuna wale wakiristo wakuu wa wilaya. Wamezaliwa Tanganyika na wazee wao ni watanganyika lakini ni wazanIbar.na wale wakurugenzi wambao ni watanganyika kwa sababu tu ni waislamu hamuwati kuwa ni watanganyika. Hivi shuleni mnajazwa mavi kichwani?Huyo dada ni Mpemba soma vizuri historia yake. acha kukurupuka
BAVICHA ni wapotoshaji sanaCharles Hillary mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Zanzibar.huyu ni mbara kabisa
Alichoongea mdude ni ukweli mtupu hakuna roho mbaya hapo.Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Yaani wewe huoni huu muungano umejaa hila na ghilba nyingi.Mzanzibar anaweza kuwa DED,DC,RAS,RC au hata Waziri katika Wizara ambazo si za muungano Mtanganyika hawezi kupewa hata ubalozi wa nyumba kumi.
Kibaya zaidi Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi huko nchi ya watu wa Zanzibar lakini wakija huku wanajinyakulia tu kama nchi hii aina mwenyewe.
Kwa taarifa yako Eng Zena ni Mzanzibar 100%.
Alichoongea mdude ni ukweli mtupu hakuna roho mbaya hapo.
Aliyekuambia hakuna wabara huko Zenji nani ?...mbona wabara waliopo huko hawapati teuzi za huko ?
Umpeleke zenj awe mkuu wa wilaya kwa katiba gani??
Usipo tibu mwiba mguu huota tende
Kuna aina tatu za uraia kwa TanzaniaHuyo dada ni Mpemba soma vizuri historia yake. acha kukurupuka
Nmecheka sna hii comment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni miongoni mwa best comment za kifala kabisa kufungulia mwaka, Cjui jamaa kichwa alikiacha wapi wakati ana type aisee[emoji1][emoji1]Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Ndio mana tunataka katiba m[ya, kipengele hiki kiwekwe sawa kwa faida ya wote