Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Acha uzwazwa. KATIBA inakiukwa sana. Elewa mada.
 
Wewe ni kenge kabisa fuga hata paka uuze ngozi
 
Ungekataa kwanza hao waliotajwa hapo juu sio watanganyika ili tuende sawa na hoja ya msingu ya mh. Mdude.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vigezo vp siyo watanganyika. Hao wote ni watanganyika wao wenyewe wamezaliwa Tanganyika. Na kama hao wakurugenzi wa ZRB, PBZ na ZBS hata Zanzibar hawajawi kiishi. Hao wengi wao znz kwa kipindi kurudi ijapokuwa wamezaliwa Tanganyika. Zena wazee wake wana asili ya znz lakini yeye kazaliwa nakusoma Tanganyika amekuja znz kwa kikazi tu. Huyo mdude wenu ni mpuuzi tu na nyinyi misuke wake
 
Tatizo sio wazanzibar, Tatizo ni watanganyika kuikataa tanganyika yao na kujivika koti la utanzania. Unapozungumzia utanzania na mzamzibar naye anaingia hivyo hilo tonge la Tanzania mtagawana na wazanzibar tukisema tuidai tanganyika yetu kuna mijitu ya tanganyika inapinga wanaona jina tanganyika ni baya wanaona ufahari kujiita watanzania wakati wazanzibar nao wanaingia humo na wana haki kupewa chochote cha Tanzania maana si cha tanganyika
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Huyo lazima ni Mzanzibar

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Huyo dada ni Mpemba soma vizuri historia yake. acha kukurupuka
Nyingi wapuuzi. Zena kazaliwa Tanganyika lakini wazee wake ni wapemba siyo.mtanganyika ni mpemba. Kuna wale wakiristo wakuu wa wilaya. Wamezaliwa Tanganyika na wazee wao ni watanganyika lakini ni wazanIbar.na wale wakurugenzi wambao ni watanganyika kwa sababu tu ni waislamu hamuwati kuwa ni watanganyika. Hivi shuleni mnajazwa mavi kichwani?
 
wajinga ndio waliwao , acha waupige mwingi ukijua yaliyopo bodi ya mikopo utalia machozi kuliko ya udc
 
Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Alichoongea mdude ni ukweli mtupu hakuna roho mbaya hapo.

Aliyekuambia hakuna wabara huko Zenji nani ?...mbona wabara waliopo huko hawapati teuzi za huko ?
 
utakuta wilaya moja ya huko zanzibar inakuwa na watu mia mbili (200) tu, sasa hao wakuu wa wilaya wanini
 
Yaani wewe huoni huu muungano umejaa hila na ghilba nyingi.Mzanzibar anaweza kuwa DED,DC,RAS,RC au hata Waziri katika Wizara ambazo si za muungano Mtanganyika hawezi kupewa hata ubalozi wa nyumba kumi.

Kibaya zaidi Mtanganyika hawezi kumiliki ardhi huko nchi ya watu wa Zanzibar lakini wakija huku wanajinyakulia tu kama nchi hii aina mwenyewe.

Kwa taarifa yako Eng Zena ni Mzanzibar 100%.

Vijana wengi mnaongea bila fact ndio shida yenu, mnaongea kwa mihemuko tu

Kuna watanzania wengi Wana vyeo vikubwa mpaka state house ya Zanzibar

Kwenye mambo ya ulinzi huko kmkm wabongo wapo kibao wenye mavyeo

Mnaongeaga vitu kama mnaongea vijiweni
 
Alichoongea mdude ni ukweli mtupu hakuna roho mbaya hapo.

Aliyekuambia hakuna wabara huko Zenji nani ?...mbona wabara waliopo huko hawapati teuzi za huko ?

Tupo na tumepata teuzi kubwa Tu ambazo bara tusingepata
 
Huyo dada ni Mpemba soma vizuri historia yake. acha kukurupuka
Kuna aina tatu za uraia kwa Tanzania
i) wa kuzaliwa
ii) wa kurithi
iii) wa kuandikishwa

Eng.Zena amezaliwa Tanga na mmoja wa mzazi wake ni mtu wa bara, huo uraia wa Pemba umekujaje?
 
Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Nmecheka sna hii comment [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ni miongoni mwa best comment za kifala kabisa kufungulia mwaka, Cjui jamaa kichwa alikiacha wapi wakati ana type aisee[emoji1][emoji1]
 
Hivi, tunapoongelea "Mzanzibari" tunazungumzia nini?

Maana hakuna utaifa huo, hakuna "Mzanzibari" kama raia wa taifa la Zanzibar.

Hakuna kabila la "Mzanzibar", na hata lingekuwapo, haturuhusu ubaguzi wa kikabila.

Sasa tunapoongelea "Uzanzibari" tunaongelea nini? Watu wenye makazi Zanzibar? Ambao hata Wachagga wa Kilimanjaro wanaweza kwenda kukaa na kupata huo Uzanzibari?

Au tunaongelea nini?
 
Back
Top Bottom