Loophole ni kwamba mzanzibari ni mtanzania ila mtanganyika sio mzanzibari! Uchochoro upo hapo.Katiba ya Tanzania na Zanzibar umezisoma. Hilo halipo.
Wazanzibari wana katiba na sheria zao ambazo Katiba ya Tanzania haizigusi wala haina mandate nazo! Iko hivi; mzanzibari ni mtanzania ila sio kila mtanzania ni mzanzibari.Hivi, tunapoongelea "Mzanzibari" tunazungumzia nini?
Maana hakuna utaifa huo, hakuna "Mzanzibari" kama raia wa taifa la Zanzibar.
Hakuna kabila la "Mzanzibar", na hata lingekuwapo, haturuhusu ubaguzi wa kikabila.
Sasa tunapoongelea "Uzanzibari" tunaongelea nini? Watu wenye makazi Zanzibar? Ambao hata Wachagga wa Kilimanjaro wanaweza kwenda kukaa na kupata huo Uzanzibari?
Au tunaongelea nini?
Huu muungano wa namna gani? Au kiini macho. Nina hakika kuna maswala yanaeeza wekwa sawa bila kuvunja muungano, sie tulio wengi wacha tubanane kwenye eneo letu na Zanziba kwa uchache wao waendelee na utaratibu wao.Wazanzibari wana katiba na sheria zao ambazo Katiba ya Tanzania haizigusi wala haina mandate nazo! Iko hivi; mzanzibari ni mtanzania ila sio kila mtanzania ni mzanzibari.
Ndio hivyo!Huu muungano wa namna gani? Au kiini macho. Nina hakika kuna maswala yanaeeza wekwa sawa bila kuvunja muungano, sie tulio wengi wacha tubanane kwenye eneo letu na Zanziba kwa uchache wao waendelee na utaratibu wao.
Wewe ni bumunda kenge mweupe wewe unaliwa tg0Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Lakini anapointiAache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Umenieleza Mzanzibari ni Mtanzania lakini si kila Mtanzania ni Mzanzibari.Wazanzibari wana katiba na sheria zao ambazo Katiba ya Tanzania haizigusi wala haina mandate nazo! Iko hivi; mzanzibari ni mtanzania ila sio kila mtanzania ni mzanzibari.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aache roho mbaya, wote ni watanzani, kinachopaswa kufanywa ni kupeleka na wabara kwenye wilaya za Zanzibar. Tuache ubaguzi
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.
Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.
Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?
Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Mhandi zena na charles hilal wana vinasaba vya ungujaNatoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.
Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.
Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?
Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi
Zanzibar ni ya wazanzibari na Tanganyika ni ya watanzania
Mbona Rais wa Zanzibar mwenyewe anatoka Mkuranga, hadi leo ukifika pale MwanaMbaya Mkuranga kuna eneo kubwa mno wanaloliita kwa Mwinyi.
Na hii si siri kila mtu anajua, na mwenyewe Mzee Rukhsa kaeleza wazi asili yake kwenye kitabu chake.
Bado maraisi wote wa Zanzibar wanachaguliwa Dodoma.
Kuna mawaziri waliwahi kuepo Zanzibar kama Adam Mwakanjuki wakati wa Dr. Salmin, huyu alitokea Mbeya, kuna Suzan Peter Kunambi kapewa uDC kusini A Unguja na Mwinyi currently, kuna Charles Hillary msemaji wa Ikulu, kina Balozi Seif Ali Iddi x-vice president ni wa Morogoro (Mruguru)...
Balozi Omar Ramadhani Mapuri wa Tabora (Mnyamwezi aliekuja Zanzibar kwa kuhamia) alikua waziri wa Elimu plus makamo wa Waziri Kiongozi enzi hizo kabla ya kuwa waziri Tz halafu balozi China, na aliporudi Zanzibar akapewa nafasi ya juu tume ya Uchaguzi...
Wapo akina Suraga kutoka Tabora, Hassan Nassor Moyo kutoka Songea...
Tatizo ni Raisi wa muungano anapokua Muislamu hizi chokochoko haziishi.
Ila ni haki ya kikatiba kila mtu kutoa maoni yake...
Kuna aina tatu za uraia kwa Tanzania
i) wa kuzaliwa
ii) wa kurithi
iii) wa kuandikishwa
Eng.Zena amezaliwa Tanga na mmoja wa mzazi wake ni mtu wa bara, huo uraia wa Pemba umekujaje?
Zitaje baadhiTupo na tumepata teuzi kubwa Tu ambazo bara tusingepata
wajinga ndio waliwao , acha waupige mwingi ukijua yaliyopo bodi ya mikopo utalia machozi kuliko ya udc