Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

Hivi, tunapoongelea "Mzanzibari" tunazungumzia nini?

Maana hakuna utaifa huo, hakuna "Mzanzibari" kama raia wa taifa la Zanzibar.

Hakuna kabila la "Mzanzibar", na hata lingekuwapo, haturuhusu ubaguzi wa kikabila.

Sasa tunapoongelea "Uzanzibari" tunaongelea nini? Watu wenye makazi Zanzibar? Ambao hata Wachagga wa Kilimanjaro wanaweza kwenda kukaa na kupata huo Uzanzibari?

Au tunaongelea nini?
Wazanzibari wana katiba na sheria zao ambazo Katiba ya Tanzania haizigusi wala haina mandate nazo! Iko hivi; mzanzibari ni mtanzania ila sio kila mtanzania ni mzanzibari.
 
Huu muungano wa namna gani? Au kiini macho. Nina hakika kuna maswala yanaeeza wekwa sawa bila kuvunja muungano, sie tulio wengi wacha tubanane kwenye eneo letu na Zanziba kwa uchache wao waendelee na utaratibu wao.
 
Ndio hivyo!
 
Ipo siku yatakwisha lakini sio kwa katiba mpya maana inaweza undwa na ikawa na mapungufu zaidi ya haya
 
Wazanzibari wana katiba na sheria zao ambazo Katiba ya Tanzania haizigusi wala haina mandate nazo! Iko hivi; mzanzibari ni mtanzania ila sio kila mtanzania ni mzanzibari.
Umenieleza Mzanzibari ni Mtanzania lakini si kila Mtanzania ni Mzanzibari.

Hilo nalijua.

Lakini, hujajibu swali langiu, Mzanzibari ni nani?
 
Natoa ushauri kwa CHADEMA watu kama mdude CHADEMA na wengine wenye aina yake ya siasa hawaisaidii CHADEMA Bali wanaiharibia kabisa.

Kwa mujibu wa katiba ,uteuzi wa wakuu wa wilaya unafanywa na Rais kama ulivyo kwa uteuzi mwingine wowote wa kikatiba.

Mfano, aliyekuwa katibu mkuu wizara ya nishati Tanzania bara mhandi Zena ,Rais Dkt. Mwinyi alipoingia tu madarakani alimteua kuwa katibu mkuu kiongozi na katibu wa mabaraza la Mapinduzi la Zanzibar, cheo cha juu kwa utumishi wa umma Zanzibar.

Sasa Kama mtanganyika amepewa cheo Cha juu kabisa Cha utumishi wa umma ,ni kweli
Mkuu wa wilaya hawezi kuteuliwa?

Acheni upotoshaji CHADEMA mtapoteana mtafute mchawi

Mhandi zena na charles hilal wana vinasaba vya unguja
 
Mbona Rais wa Zanzibar mwenyewe anatoka Mkuranga, hadi leo ukifika pale MwanaMbaya Mkuranga kuna eneo kubwa mno wanaloliita kwa Mwinyi.

Na hii si siri kila mtu anajua, na mwenyewe Mzee Rukhsa kaeleza wazi asili yake kwenye kitabu chake.

Bado maraisi wote wa Zanzibar wanachaguliwa Dodoma.

Kuna mawaziri waliwahi kuepo Zanzibar kama Adam Mwakanjuki wakati wa Dr. Salmin, huyu alitokea Mbeya, kuna Suzan Peter Kunambi kapewa uDC kusini A Unguja na Mwinyi currently, kuna Charles Hillary msemaji wa Ikulu, kina Balozi Seif Ali Iddi x-vice president ni wa Morogoro (Mruguru)...

Balozi Omar Ramadhani Mapuri wa Tabora (Mnyamwezi aliekuja Zanzibar kwa kuhamia) alikua waziri wa Elimu plus makamo wa Waziri Kiongozi enzi hizo kabla ya kuwa waziri Tz halafu balozi China, na aliporudi Zanzibar akapewa nafasi ya juu tume ya Uchaguzi...

Wapo akina Suraga kutoka Tabora, Hassan Nassor Moyo kutoka Songea...

Tatizo ni Raisi wa muungano anapokua Muislamu hizi chokochoko haziishi.

Ila ni haki ya kikatiba kila mtu kutoa maoni yake...
 
Waseme na kuondoa Lugha za kimbari "Kistaha-arabu" na Ki-Ungwana. Lugha ishapitwa na Wakati. Ni ya Kimbari hapo nitakubali ndio, Katiba ni Muhimu.

Vinginevyo hiyo hoja haina mshiko

Nasema hivyo kwa sababu itakuwa kinzani na mfumo wanaoutaka. CHADEMA

Utawezaje kumleta raia wa Zanzibar kuja kushika nyadhifa Tanzania kwa mfumo wanaoutaka Chadema? Nchi ya Tanzania na Nchi ya Zanzibar

Naomba kujuzwa
 
Mbona Rais wa Zanzibar mwenyewe anatoka Mkuranga, hadi leo ukifika pale MwanaMbaya Mkuranga kuna eneo kubwa mno wanaloliita kwa Mwinyi.

Na hii si siri kila mtu anajua, na mwenyewe Mzee Rukhsa kaeleza wazi asili yake kwenye kitabu chake.

Bado maraisi wote wa Zanzibar wanachaguliwa Dodoma.

Kuna mawaziri waliwahi kuepo Zanzibar kama Adam Mwakanjuki wakati wa Dr. Salmin, huyu alitokea Mbeya, kuna Suzan Peter Kunambi kapewa uDC kusini A Unguja na Mwinyi currently, kuna Charles Hillary msemaji wa Ikulu, kina Balozi Seif Ali Iddi x-vice president ni wa Morogoro (Mruguru)...

Balozi Omar Ramadhani Mapuri wa Tabora (Mnyamwezi aliekuja Zanzibar kwa kuhamia) alikua waziri wa Elimu plus makamo wa Waziri Kiongozi enzi hizo kabla ya kuwa waziri Tz halafu balozi China, na aliporudi Zanzibar akapewa nafasi ya juu tume ya Uchaguzi...

Wapo akina Suraga kutoka Tabora, Hassan Nassor Moyo kutoka Songea...

Tatizo ni Raisi wa muungano anapokua Muislamu hizi chokochoko haziishi.

Ila ni haki ya kikatiba kila mtu kutoa maoni yake...

Chale Hilary ni mzanzibari 100 kwa mia
 
Kuna aina tatu za uraia kwa Tanzania
i) wa kuzaliwa
ii) wa kurithi
iii) wa kuandikishwa

Eng.Zena amezaliwa Tanga na mmoja wa mzazi wake ni mtu wa bara, huo uraia wa Pemba umekujaje?

Sio automatically ukizaliwa tz na wazazi ambao sio wa raia na wewe unapata uraia.
Embu jieleweshe vizuri.
Huyo mdada ni Mpemba Period.
Ukweli lazima uwekwe wazi .
Na huyo gasho aliyeteuliwa DC huko Moro wafugaji wasije kumfira tu
 
Muungano wetu unafikirisha sana mambo yake.
 
Back
Top Bottom