Kwa hao waliowakuta, sisi hatukuwepo.wamejitambulisha kwa nani
Haya matamanio yako kumuona Lissu anadhurika hayatafanikiwa ewe mwana wa Ibilisi,uzao wa nyoka.Exactly, polonium kills slowly.....
Polonium-210: Why is Po-210 so dangerous?
Polonium-210 is the deadly poison that was used to kill the former Russian spy, Alexander Litvinenko, in London in 2006. He died of radiation sickness.
HATOGOMBEAMagufuli ni dictator samia anaupiga mwingi sukuma gang ni wahuni tu wa mwenda kuzimu ...haya maneno yalisikika sana kutoka wa,watu wa chadema na upinzani na watanzania wenye UANITHI WA AKILI ....nilipo waambia kuwa wanajidanganya walibisha, naomba wale wajuzi wa kufufua makaburi walete kumbukumbu za hao watu hapa jf ....niliwaonya wapinzani kuwa wanajidanganya hali zao chini ya samia na taifa chini ya samia zitakuwa ngumu sana kuliko kipindi cha JPM na hapa badoooo....ushenzi wa samia bushiri na watoto wake na genge lake la Rostam azizi utadhihilika ndani ya miaka 5 ijayo ...niliwaonya chadema kuwa ilikuwa rahisi kupata katiba mpya chini ya JPM kuliko chini ya Samia pia nilionya kuwa kama atagombea urais 2025 damu nyingi sana itamwagika (nilipondwa sana kuhusu ilo) ...pia ninaonya kuwa samia akiwa rais awamu ya pili kutakuwa na nguvu kubwa itakayo anza baada ya miaka 3 ya uongozi wake wa awamu ya pili kupambania agombee tena 2030 hapa nguvu kubwa itatumika tena...na mbinu 2 au 3 zitatumika...
Mbinu
1)ni kudai kuwa miaka ile minne ilikuwa ni kumaliza miaka ya jpm hivyo anatakiwa miaka yake 10.
2)kuanzisha harakati za kuandika katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mwishoni wa awamu yake ya pili lengo ni kuonyesha kuwa muda aumtoshi hiyo apewe miaka mitano mingine.
3)kutumia hoja ya lissu ya sasa mwishoni mwa awamu yake ya pili ...kuwa ushaguzi usifanyike ila rais aongezewe miaka japo miwili au mitatu kukamilisha tume huru au katiba mpya au vyote kwa pamoja ..hii itampa mwanya wa kubaki madarakani zaidi ya 2030 .....au hadi 2033 au yote 2035.
ILA NIONAVYO MIMI KUNA MABAYA YATAMKUTA KATIKA HII MIAKA 5 INAYO IPIGANIA SASA UENDA ISIISHE VYEMA.
Sasa umeambiwa wapi kwamba wana akili?Anayeratibu haya mambo ajue kuwa hii ni wrong move. Hapa wanazidisha chuki ya wananchi walio wengi dhidi ya serikali yao. Hao wanaowatarget kuwanyamazisha ni wachache. Na historia inaonyesha huwezi nyamazisha watu kwa style hii, bali unazidisha tatizo. Jamani hawana akili hawa watu? Mbona ni common sense tu?!
Wanaendeleza alichotuachia mkoloni.Hivi polisi kumkamata mtu ni lazima kumpiga? Hii ni sheria ya wapi?
Kwa nini utaratibu mbovu huu ndio sasa uzoelekee na kukubaliwa kama ni kawaida ya polisi kufanya kazi?
Kwa wingi huo wa damu alivyovuja sidhani kama atakuwa salama...Usiku huu, ndugu yetu Mdude_Nyagali amenyakuliwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi akiwa katika makazi yake Mbeya usiku huu. Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Tazama clip hapa chini by MMM:
Hii ni damu ya Mdude baada ya makazi yake huko Iwambi, Mbeya kuvamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi. Walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.
View attachment 3322288
POLISI WANAKANA KUWA NAYE, HIVYO HE IS ALREADY DEAD! VERY SAD INDEEDKwa wingi huo wa damu alivyovuja sidhani kama atakuwa salama...
Dah..Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya.
Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana na wakaondoka naye. Haijafahamika amepelekwa kituo gani cha polisi.
Inadaiwa walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.
Rais wa TLS naye amesema:
Nimepokea habari Usiku huu kwamba Jeshi la polisi Mbeya limefika nyumbani kwa Mdude Mpaluka Nyagali.
Baada ya kufika wamevunja mlango na kuingia ndani na kumpiga wa kitumia vitu mbalimbali na kumjeruhi na baadaye kuondoka naye.
Huu ni muendelezo wa kukithiri kwa vitendo vya wanao onekana wakosoaji wa Serikali kutendewa kinyume cha Sheria na Kuumizwa.
Tunalitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuhakikisha kuwa Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali anakuwa salama na kuhakikisha wanampatia matibabu stahiki.
Tunakemea na kufuatilia jambo hili kwa ukaribu kuona haki ikitendeka.
Boniface A.K Mwabukusi
WAKILI.
Mdude_Nyagali , anayejulikana pia kama "Mdude Chadema," ni mwanaharakati wa kisiasa na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini.
Alizaliwa tarehe 25 Agosti 1987 katika kijiji cha Isongole, Wilaya ya Ileje, mkoa wa Mbeya (sasa Songwe). Tangu mwaka 2008, amekuwa mwanachama wa CHADEMA na amejihusisha na shughuli mbalimbali za kisiasa, ikiwa ni pamoja na kusimamia kampeni za wagombea wa chama hicho.
Mdude amejipatia umaarufu kwa kuwa mkosoaji wa wazi wa serikali kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa ya kisiasa. Mara nyingi hujitambulisha kama mpiganiaji wa uhuru wa kujieleza, haki za kiraia na utawala bora.
Mnamo Mei 2019, Mdude alitekwa na watu wasiojulikana kutoka ofisini kwake katika Wilaya ya Mbozi, mkoa wa Songwe. Baada ya siku tano, alikutwa akiwa amejeruhiwa katika kijiji cha Inyala, Mbeya. Alidai kuwa alitekwa kwa sababu za kisiasa kutokana na ukosoaji wake dhidi ya serikali.
Katika maisha yake ya kisiasa, Mdude amekumbana na changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hata hivyo, ameshinda baadhi ya kesi hizo, na mnamo Juni 2021, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ilimuachia huru baada ya kumkuta hana hatia katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin.
Usiku wa Mei 2, 2025, taarifa za kukatamatwa kwake zimesambaa kupitia video inayoonekana mtandaoni. Hadi asubuhi hii, hakuna taarifa rasmi zinazoelezea ni wapi alipo pamoja na hali ya afya yake.
--- Jeshi la Polisi likichukua vielelezo eneo la tukio ---Pia soma Pre GE2025 - Martin Masese: Polisi wamefika nyumbani kwa Mdude kuchukua Sampuli ya damu ili waanze uchunguzi
View attachment 3322576View attachment 3322577
Hilo litafuata soon . Threshold ya uvumilivu ikishavukwa hakuna atakayetuliza ghadhabu za raia. Ndo hayo mauaji ya halaiki yatafuataHivi hao polisi kwani wanaishi wapi?
Kama wanaishi humu humu uraiani basi wananchi sasa nao inabidi waanze kuwawinda na kuwafanyia mbaya.
Hata ikibidi kuwawekea sumu kwenye vinywaji au vyakula, poa tu.
Ikibidi kuwawinda na kuwanyatia na kuwapiga mishale, mapanga, marungu, nayo poa tu.
Watu watakuwa wanyonge mpaka lini?
Hawezi kuwa hai. Too much blood ni kama major vein fulani ilikiwa already imetobolewa.POLISI WANAKANA KUWA NAYE, HIVYO HE IS ALREADY DEAD! VERY SAD INDEED
Inasikitisha sana..POLISI WANAKANA KUWA NAYE, HIVYO HE IS ALREADY DEAD! VERY SAD INDEED
Ukishafanya kwa mmoja huwezi kujali tena, roho ya kuua iko tayari ishakuingia. Ni suala la kiroho zaidi kuliko fikraAnayeratibu haya mambo ajue kuwa hii ni wrong move. Hapa wanazidisha chuki ya wananchi walio wengi dhidi ya serikali yao. Hao wanaowatarget kuwanyamazisha ni wachache. Na historia inaonyesha huwezi nyamazisha watu kwa style hii, bali unazidisha tatizo. Jamani hawana akili hawa watu? Mbona ni common sense tu?!
Hakutakiwa kuishi Tanzania.Mdude hakutakiwa kuishi namna hii, bila ulinzi, bila tahadhari yeyote na bila back-up. Mdude amekuwa target kwa siku nyingi na cold-blood murderers.
CHADEMA wanatakiwa waanzishe na kuimarisha mkakati wa kulinda watu wao, waandae mkakati wa tahadhari. Ukishakuwa mkosoaji kwa utawala kama wetu unakuwa haupo salama.
Inasikitisha sana...Hawezi kuwa hai. Too much blood ni kama major vein fulani ilikiwa already imetobolewa.
Is this funny to you?Hahaha kelele nyingi Anaishi kama panya
Pumbavu kabisa huyu mjinga