Cha kushangaza anatokea mtu anakwqmbia chadema wanateka watu kisha wanaisingizia serikaliHawa watu drama zao zitawagharimu
Fr. Kitima kavamiwa ndani ya ulinzi mkali wa CCTV.
Unamkumbuka nani kipindi cha mkoloni?I don't understand.
Why would you be beefing with armed men while you can't afford arms? You can't even afford security 😔
Wamemiss kinyeo?Wamemchukua mke wao huyooo
waziri wakusubiri maelekezo na kuyatekelezabashungwa ni waziri gani vile?
Vyote tuuDrama a u crazy..?
Na huo ndio ukweliCha kushangaza anatokea mtu anakwqmbia chadema wanateka watu kisha wanaisingizia serikali
Simple anabariki ndio maana bado yanaendelea kutokea..Hii mbona kama inataka kuchafua taswila nzuri ya nchi yetu,au kuna watu wanataka kumuharibia Rais ...siamini haya kama anabariki mh Rais wetu.
Kwa hiyo hayo yalifanyika huku serikali ikiangalia tu?Na huo ndio ukweli
Sasa vyombo vya dola vinachelewa nini kuwakamata hahusika wa hilo tukio, na wakati kumbe mnatambua fika CHADEMA ndiyo wanao husika?Tate Mkuu ukifuatilia kwa umakini utaelewa mchezo
Chadema wanatafuta huruma ya watanzania kwa namna yoyote ile.
Ukijipendekeza tuu wanaoutumia vibaya kwa maslahi yao
Sasa mdude atalindwa vipi mkuu we si unaona hata Lissu ulinzi anao muda wote lakini polisi walimbeba tu kati kati ya walinzi wake wakaondoka nae.....Mdude hakutakiwa kuishi namna hii, bila ulinzi, bila tahadhari yeyote na bila back-up. Mdude amekuwa target kwa siku nyingi na cold-blood murderers.
CHADEMA wanatakiwa waanzishe na kuimarisha mkakati wa kulinda watu wao, waandae mkakati wa tahadhari. Ukishakuwa mkosoaji kwa utawala kama wetu unakuwa haupo salama.
KadangeVyote tuu