PreGE2025 Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Exactly, polonium kills slowly.....

Polonium-210: Why is Po-210 so dangerous?​

Polonium-210 is the deadly poison that was used to kill the former Russian spy, Alexander Litvinenko, in London in 2006. He died of radiation sickness.
Haya matamanio yako kumuona Lissu anadhurika hayatafanikiwa ewe mwana wa Ibilisi,uzao wa nyoka.
 
Reactions: K11
Siye mashujaa wa Keyboard tunasema Mdude apambanie tu hali yake, maana waipiganiao Keki ya Taifa ni wale wenye uthubutu na ngozi ngumu..
 
HATOGOMBEA
 
Anayeratibu haya mambo ajue kuwa hii ni wrong move. Hapa wanazidisha chuki ya wananchi walio wengi dhidi ya serikali yao. Hao wanaowatarget kuwanyamazisha ni wachache. Na historia inaonyesha huwezi nyamazisha watu kwa style hii, bali unazidisha tatizo. Jamani hawana akili hawa watu? Mbona ni common sense tu?!
 
Sasa umeambiwa wapi kwamba wana akili?
 
Hivi polisi kumkamata mtu ni lazima kumpiga? Hii ni sheria ya wapi?
Kwa nini utaratibu mbovu huu ndio sasa uzoelekee na kukubaliwa kama ni kawaida ya polisi kufanya kazi?
Wanaendeleza alichotuachia mkoloni.
 
Reactions: K11
Kwa wingi huo wa damu alivyovuja sidhani kama atakuwa salama...
 
Dah..
Sumu Ya Nyigu
70 x 70.
RIP
 
Hilo litafuata soon . Threshold ya uvumilivu ikishavukwa hakuna atakayetuliza ghadhabu za raia. Ndo hayo mauaji ya halaiki yatafuata
 
Ukishafanya kwa mmoja huwezi kujali tena, roho ya kuua iko tayari ishakuingia. Ni suala la kiroho zaidi kuliko fikra
 
Hakutakiwa kuishi Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…